mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
mwisho utamaliza bando lako bure kufuatilia huu uzi
Uzi huu NI raha tupu.Mapovu kwenye siasa,udini na majukwaa mengine
mwisho utamaliza bando lako bure kufuatilia huu uzi
Mengine tuyaache pembeni tujali utaifa wetu na ujirani mwema ktk makazi !!!!Uzi huu NI raha tupu.Mapovu kwenye siasa,udini na majukwaa mengine
Mengine tuyaache pembeni tujali utaifa wetu na ujirani mwema ktk makazi !!!!
Uyapendayo wewe mie ndo nayahusudu kabisa, Kwanza nikupe mkono wa Eiddi hii iliyopita !!!Makazi mazuri Na Yale uyapendayo
Uyapendayo wewe mie ndo nayahusudu kabisa, Kwanza nikupe mkono wa Eiddi hii iliyopita !!!
Yako Salamu zitafika nyumbani, Tumshukuru Muumba kwa uzima na afya tunayo himili !!Iliyopita ilikuwa nzuri sana ZZ nashukuru sana Na vile vile nakupa Wewe mko wa Eid Na familia yako
Yako Salamu zitafika nyumbani, Tumshukuru Muumba kwa uzima na afya tunayo himili !!
Sana sana tuwe waangalifu katika life style hii iliyochanganyika ya mchana na ya usiku !!!Himili Kama usemavyo afya NI kitu cha kushukuru sana
Sana sana tuwe waangalifu katika life style hii iliyochanganyika ya mchana na ya usiku !!!
Kheri hiyo uwapao wanao ni msingi imara katika kuwajenga imani zao na kukabili mawimbi ya kilimwengu !!Usiku NI wakati Mzuri wa kukaa Na familia Na kuongea mambo ya kheri
Jamii ina wajibu wa kutazama maadili mema yanayo wazunguka na kuzuia maovu yenye kujipenyeza la sivyo jamii nzima itaharibikiwa !!!Kilimwengu ili ufanikiwe, inategemea na malezi bora kutoka katika familia na jamii
Mwingine kumnyoshea kidole au kutupiana lawama ni kupoteza wakati na juhudi kuyayuka !!!Itaharibikiwa zaidi ya tunavyoona sasa na kila mtu anamlaumu mwingine.
Sasa mtu kukosea spelling ashakuwa hajui, basi humu JF wengi tusingelewana kimaandishi !Kuyayuka au kuyeyuka kiswahili hujui je kingereza sasa
Kimaandishi na kwa ushahidi wa kisarufi wengi wana tatizo la 'l na r', utasikia mtu asema lejea badala ya rejeaSasa mtu kukosea spelling ashakuwa hajui, basi humu JF wengi tusingelewana kimaandishi !
Lugha ya pamoja ni tabasaamu 😀 !! ukishelewa mantik yake haitokupa tabu !!!Kimaandishi na kimatamshi makosa hayakosekani katika lugha.