Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Silver rangi yake yaitwa "fedha" na hiyo shaba ni 'bronze au copper" chagua mojawapo !!!Muipendayo, kwangu ni shaba, kama sikosei, namaanisha silver
Silver rangi yake yaitwa "fedha" na hiyo shaba ni 'bronze au copper" chagua mojawapo !!!Muipendayo, kwangu ni shaba, kama sikosei, namaanisha silver
Maelezo baada ya habari ni kipindi kizuri sana pale TBC 1.Mojawapo ni fedha, shukran ZZ kwa maelezo
TBC1 ni Television ya TaifaMaelezo baada ya habari ni kipindi kizuri sana pale TBC 1.
Taifa Leo ni gazeti la zamani limepitwa na wakati, tena siku hizi halisikiki..!!!TBC1 ni Television ya Taifa
Halisikiki sababu lina mambo ya kizamani kama wakoloniTaifa Leo ni gazeti la zamani limepitwa na wakati, tena siku hizi halisikiki..!!!
Wakoloni wa enziwe na kutukuzwa daima.. maana ukweli tuseme, Wao waliweza jenga miundombinu na mifumo imara yenye upeo mrefu na mpana kwa mataifa yote takriban !!!Halisikiki sababu lina mambo ya kizamani kama wakoloni
takriban milioni mbili nazhtaj kwa mwez kukamilishia malengoWakoloni wa enziwe na kutukuzwa daima.. maana ukweli tuseme, Wao waliweza jenga miundombinu na mifumo imara yenye upeo mrefu na mpana kwa mataifa yote takriban !!!
malengo endelevu au ya muda mfupitakriban milioni mbili nazhtaj kwa mwez kukamilishia malengo
Mfupi mfupi mtaro huo unachirizisha maji hadi mtoni...!!!malengo endelevu au ya muda mfupi
Ulaya imekuwa kimbilio la wahamiaji wasio na chao baada ya ukadamizaji kutoka bara la Afrika, wana hiyari wafe ilimradi wavuke kuenda Ulaya....!!!!mtoni zamani ilikuwa inamaanisha Ulaya
Sana sana umezidisha wewe Waarabu hawawachukii watu bure bure.., ila ispokuwa kuna ukorofi umewagusa !!!!!!ulaya na watu wake wana maajabu yao, yaani jinsi wanavyochukiwa na waarabu lakini wanavyowapokea bila hiyana, inashangaza sana
Kingereza kina zungumwa huko India kuliko Uengereza kwenyewe baada ya umarekani.....Ulaya ndio UK kwa kingereza?
Umewagusa sana Nisha nyumba simple sanaSana sana umezidisha wewe Waarabu hawawachukii watu bure bure.., ila ispokuwa kuna ukorofi umewagusa !!!!!!
Sana sana utacheza na mwanangu.. ila mie hunipati !!!Umewagusa sana Nisha nyumba simple sana
Nani atakae mfunga paka shungi kengele ? bora msimbughudhi kama hamuezi mlisha chakula!!"Hunipati" Hivi aliekwambia Korea kuna wavivu nani?