Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Ghali na gharama tofauti ipo wapi ??Ardhi now days imekuwa ghali???
Ghali na gharama tofauti ipo wapi ??Ardhi now days imekuwa ghali???
Gharama za maandalizi ya harusi zimepanda sana bila kupata michango ya maswahiba hutoyamudu!!Wapi utapata pasipokua gharama
hutoyamudu na mwanamke tutamchukua sie wenye maweGharama za maandalizi ya harusi zimepanda sana bila kupata michango ya maswahiba hutoyamudu!!
Mawe ya madini hujaga na mijini.., hivyo jipange kupambana na miamala ya kikatili !!!hutoyamudu na mwanamke tutamchukua sie wenye mawe
KIKATILI TU TUNAISHI HAPA TANZANIA YETUMawe ya madini hujaga na mijini.., hivyo jipange kupambana na miamala ya kikatili !!!
Mengi ninayo ya moyoni binamu Z uliponikimbia na kuniacha kwenye mataa nikishangaa...!!!!!!Yetu mazingira yana maua mengi
nikishangaa sana wataniita mshambaMengi ninayo ya moyoni binamu Z uliponikimbia na kuniacha kwenye mataa nikishangaa...!!!!!!
Mshamba ni muungwana kwa kuwa hatapeli mtu wala hatumii ujanja katika ujio wake mjini !!!nikishangaa sana wataniita mshamba
mjini shule cha ajabu hakuna sareMshamba ni muungwana kwa kuwa hatapeli mtu wala hatumii ujanja katika ujio wake mjini !!!
Sare za magmba mie nazipenda Aisayee sijui zinauzwa madukani au spesho !!!!mjini shule cha ajabu hakuna sare
Usoni wa kila mwanaadamu kuna urembo maalum usio lingana na mwengine hata wakiwa mapacha !!CCM ni chama makini kitakachowavusha Watanzania kuelekea katika uchumi wa kati mnamo siku za usoni.
Rangi nyekundu ndiyo inayotumika kibiashara zaidi, Jee nyie wachangiaji rangi ipi muipendayo ?Mapacha wengi huendana kwa sura na tabia, ila wapo wanaotofautiana mpaka rangi