Linatamkwaje jina la mji mkuu wa Ivory Coast au jina la rais wao ? Ndg. mtebetini ulikuwa wapi tulikumiss hapa al-watan !!!!xggfderfgnjjuyfbxxxdgnbx naomba ufafanuzi wa hizo herufi! Hilo jina linatamkwaje?
Majukumu yametubana sote katika wakti huu ambao vijana wetu hawana msaada wowote.., zaidi ya nafsi zao hivyo acha tupambane ili tukubaki kuishi....Al-watan Mtebetini nadhani anafukuzana Na Majukumu
Kuishi ni majaliwa.Majukumu yametubana sote katika wakti huu ambao vijana wetu hawana msaada wowote.., zaidi ya nafsi zao hivyo acha tupambane ili tukubaki kuishi....
Majaaliwa ni neno lenye hope nguvu na upeo wa mategemeo mbeleni, Hivyo hutanguliwa na In-Shaa-Allah.....Kuishi ni majaliwa.
In Shaa Allah ndugu yangu ZZ nilikuwa na pilika za kawaida kabisa,ikawa kila nikitaka kuingia JF najikuta nipo hoi mtaniwia radhi kwa kimya changuMajaaliwa ni neno lenye hope nguvu na upeo wa mategemeo mbeleni, Hivyo hutanguliwa na In-Shaa-Allah.....
Changu ni yule samaki mtaamu akipikwa na tui la nazi... nakutamania Ndg Mtebetini siku moja nikualike turambe vidole vyetu....In Shaa Allah ndugu yangu ZZ nilikuwa na pilika za kawaida kabisa,ikawa kila nikitaka kuingia JF najikuta nipo hoi mtaniwia radhi kwa kimya changu
Vyetu vidole kuviramba si tatizo huenda ikawa tumekwishawahi kujumuika pamoja lakini kwa kuwa humu JF tumegubika uhalisia wetu,tukija kuonana itakuwa nderemo na vifijo.Changu ni yule samaki mtaamu akipikwa na tui la nazi... nakutamania Ndg Mtebetini siku moja nikualike turambe vidole vyetu....
vifijo na vihoja tutacheka wee kadamunasi hadi halaiki iliyopo watastaajabu nini kimetokea !!!Vyetu vidole kuviramba si tatizo huenda ikawa tumekwishawahi kujumuika pamoja lakini kwa kuwa humu JF tumegubika uhalisia wetu,tukija kuonana itakuwa nderemo na vifijo.
vifijo na vihoja tutacheka wee kadamunasi hadi halaiki iliyopo watastaajabu nini kimetokea !!!
Mwisho wa siku ikifika ni lazima tuonane wote ili tujumuishe jamaa hadharani na kuwa hadithia huo mnasaba !!!!!Kimetokea mkusanyiko wetu katika hiyo hafla
Maana Watu watashangaa Kwa kumaliziana maneno ya mwisho
mna7!!!!!! ni yule mbaguzi wa kidugu yaani na7Mwisho wa siku ikifika ni lazima tuonane wote ili tujumuishe jamaa hadharani na kuwa hadithia huo mnasaba !!!!!
Mwisho wa siku ikifika ni lazima tuonane wote ili tujumuishe jamaa hadharani na kuwa hadithia huo mnasaba !!!!!
mna7!!!!!! ni yule mbaguzi wa kidugu yaani na7
Mnasaba ukijulikana basi mahaba huongezekaMwisho wa siku ikifika ni lazima tuonane wote ili tujumuishe jamaa hadharani na kuwa hadithia huo mnasaba !!!!!
Nzuri zaidi tutainogesha tukiwaalika ma alwatan wa JF na wageni wa mikoani naona M Qassim hapo kesha aanza kumezea mate !!!!Mnasaba utanoga sana sehemu ambayo wanamisosi murwa NI kija Dareslam NI
chief Pride hapo si mchezo chakula kizuri,mazingira Na bei nzuri
Huongezeka kwa kuwa nafsi zetu ni moja na alotuumba ni mmoja !!!Mnasaba ukijulikana basi mahaba huongezeka