Wenzao wanalia na sukari siye tunachanga samli na maji kweli tutafika ???Yao yamewashinda Nazi kusema ya wenzao
Hiyo ilikuwa inakubalika katika awamu za mwanzo miaka ile !! ila leo kwa kizazi kipya uta achwa katika mataa !!!!Mwendo kasi hiyo.
Mwendo wa maringo lwa akina dada ndiyo huleta taharuki mitaani na chanzo cha kusababisha foleni !!!tutafika???ndio tutafika kama tukikaza mwendo
pesa ndo sabuni ya rohoBenki ni mahali Salama pa kuhifadhi Pesa
hii ndo mwanzo na bado tutaisoma nambaRoho zinatuhuma kuona wanayoyafanya Tanzania hii
Akaunti za benki za nje kumefurika fedha nyingi za waTanzania walohamisha enzi zile !!!!!!ipi?? ya simu au ya akaunti?