Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Habari wanaJF,

Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

Winner ndio nini wewe wa kusoma

Hekima ndogo uitoayo kwa wakulima ina faida kubwa kuliko bwawa la maji yasiyo nufaisha wakulima.....

Wakulima wengi wanadharauliwa Lakini hao ndio wanatulisha.Mchele,maharagwe,mchicha,mihogo,kuku,Ngo'mbe,mbuzi Na kila aina ya chakula
MwenyeEZ Mungu awajaalie sana wakulima Na wafugaji Na bila ya kuwasahau Wanunuzi

Wanunuzi ni walanguzi maana wao huwalalia sana wakulima, Nami nawaombea mema wakulima wetu ambao hawajapewa kipaumbele.....

Resources zitumiwe vizuri na kwa utaalamu kupambana na kero mbalimbali zinazoikabili jamii yetu.

balaa ni pale unapokutana na mtu anaitwa xggfderfgnjjuyfbxxxdgnbx

Back
Top Bottom