Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Waswahili Na Lugha ya Kiswahili inazidi kusonga Ktk huu Ulimwengu.Alwatan naam ndio neno linalo faa kuwaongelea Waswahili
Waswahili ni kiboko wa barani Afrika tunatambulika kwa utamaduni na lugha iliyotanda mabawa yake ktk radio za waAfrika......
 
Kijana Ringi tafadhali fata utaratibu wa maneno.
Huu mchezo una Sheria zake.Sheria NI hivi unaanza Na neno la mwisho la unaye mnukuu.
Mfano umemaliza Na Kijana Na Mimi naendeleza
Naendeleza mukhtasari wa kuwapa heshima wana wa Afika mashariki kwa kuEnzi uswahili kama al-watan moja !!!
 
Maofisini siku hizi kaka zamiluni naona mwafunikana mapaka chini ya meza hua mwafanya nini ebu Leo tujuze apa jamvini..
 
Back
Top Bottom