T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Mmoja mmoja ndiyo mpangoHuongezeka kwa kuwa nafsi zetu ni moja na alotuumba ni mmoja !!!
Vipi lakini kwema mkuu Zamiluni
Mmoja mmoja ndiyo mpangoHuongezeka kwa kuwa nafsi zetu ni moja na alotuumba ni mmoja !!!
Ushindi siyo lengo au tamaa yangu Mkuu chuma.., hapa kuna unasaba wa kitaifa najitahidi kuunganisha matumbo ya mama !!!Zamilun anajitahidi kuwa wa mwisho tumpe tu ushindi
Duniani kuna maajabu kila kukicha.. hadi kuna magazeti ya udaku na fedheha....Mama ni mtu muhimu na bora hapa dunian
Fedheha niliyoipata jana usiku ni kubwa sanaDuniani kuna maajabu kila kukicha.. hadi kuna magazeti ya udaku na fedheha....
uso wangu una chunusi nyingavutasema yule kijana wa miaka kumi na sabaFedheha niliyoipata jana usiku ni kubwa sana
Sijui nitaficha wapi uso wangu
Saba saba ni sikukuu ya wakulimauso wangu una chunusi nyingavutasema yule kijana wa miaka kumi na saba
Bure kupigizana kelele na wapiga debe maana basi za mwendo kasi zime kimu mahitaji ya umma...!!!Nguvu itumikayo katika kazi iende sambamba na akili, la sivyo ni kazi bure.
Bure kabisa kuwa na mwanamke asiyejua kupika.Nguvu itumikayo katika kazi iende sambamba na akili, la sivyo ni kazi bure.
Kupika ya nini sikuhizi mikahawa na marestsurant kibao..wewe unajali tumbo lako tu.. wenzio wakina dada wapo saloon kujiremba!!!Bure kabisa kuwa na mwanamke asiyejua kupika.
Kujiremba sana kwa wanawake kunaboa kweliKupika ya nini sikuhizi mikahawa na marestsurant kibao..wewe unajali tumbo lako tu.. wenzio wakina dada wapo saloon kujiremba!!!
Bwana harusi ana uaaga ukapera leo .. kesho siyo mwnzetu tena hivyo tuheshimu msimamo wake aweze tuliaMweeeeh wanajiremba kwa ajili ya fahari ya bwana.
Mazuri tutawapa mabaya yao tutayapuuza hatimaye wataumbuka.....Hawaishi kutuandama hata tukifanya mazuri