Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mchezo wa masikini ni mpira wa miguu, na mchezo wa tajiri ni golf...!!!

Golf sio mchezo wa kitajiri pekee.mashindano ya magari,farasi Polo,sailing,tennis Na lacrosse.
Tiger woods ndio kaufanya mchezo wa golf kupendwa Na wasio Matajiri.
 
Kushangaza Kwa Watu wa mwambao Au "Waswahili" wa kweli kweli. Mpaka maana ya neno Mswahili likawa mzaha.Leo Hii ukiwa Mjinga utasikia "wacha Uswahiri" ukiwa mjanja janja wacha "Uswahiri" maana Uswahiri umekuwa tusi.
Tusi lina warudia wao hao wenyewe, Uswahili na Mswahili watabaki kuwa kiongozi na mwalimu wa taifa lenye ufaswaha wa kiswahili barani Afrika... al-watan utaenziwa 24/7 hata wakilichafua tabaka la waswahili !!!!!!
 
Waswahili Na Lugha ya Kiswahili inazidi kusonga Ktk huu Ulimwengu.Alwatan naam ndio neno linalo faa kuwaongelea Waswahili
 
Back
Top Bottom