mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Walipaji kodi walifuatwa kwa njia ya nyuma na kuombwa rushwa baada ya kupewa vitisho, ndipo wakawa wanalipa kodi isiyo sajiliwa rasmi wala kuingia serikalini....
Serikalini kulikuwa NI janga la taifa maana kila kitu kilikuwa Dili Hata mahospitalini ilikuwa lazima uhonge ili utibiwe.Tra,polisi Na kila sehemu nyeti NI Dili tu.Wacha JPM atusomeshe namba.