Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,009
- 4,769
mbuzi ni kitoweo namba moja kwa mashiaMaziwa ya ng'ombe ni mazur kuliko ya mbuzi
mbuzi ni kitoweo namba moja kwa mashiaMaziwa ya ng'ombe ni mazur kuliko ya mbuzi
Maisha ya leo naona mloo ndo kipaumbele......mbuzi ni kitoweo namba moja kwa mashia
Maisha ya leo naona mloo ndo kipaumbele......
Kuyamudu maisha ya kisupastaa au ya wasanii ni kuiga kwa tembo!!!Kupaumbele ni mlo kwa kuwa mengineyo yanakuwa ghali kuyamudu
Tembo ni mnyama mkubwa balaaKuyamudu maisha ya kisupastaa au ya wasanii ni kuiga kwa tembo!!!
Tembo ni mnyama mkubwa balaa
Msamba ni hali ya kutanua miguu mpaka mwisho wa uwezo wake.Balaa ya kumuiga tembo ni kupasuka msamba
Wao ndio hawaridhiki labdaWake wengi hua hawawaridhishi waume wao
Labda uvunje huo mlango, maana huyo ameshakufa humo chumbani......Wao ndio hawaridhiki labda
Wawili wote hawajibu na hakuna dalili za uhai hapo, ni kuvuja mlango ......!!Chumbani wamelala wawili .
Nyuma ya gari kuna bidhaaMlango wa nyuma?
Wakuu wa mikoa waliadhibiwaKodi kila mwezi inapanda wakati uzalishaji umeshuka tra wanapata wapi hizoo kodi wakuu
Wakuu wa mikoa waliadhibiwa
Walipaji kodi walifuatwa kwa njia ya nyuma na kuombwa rushwa baada ya kupewa vitisho, ndipo wakawa wanalipa kodi isiyo sajiliwa rasmi wala kuingia serikalini....Waliadhibiwa wa kwepa kodi.Tra inapata mapato mengi Kwa sababu kila mtu analipa kodi.Zamani mapato yalikuwa mengi Lakini wachache ndio walipaji