Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hiyo ndiyo mukhtasari wa njama za kugeuza haki kuwa batili... Uongozi ni kuwa mkweli na kutenda haki popote ulipo....

Ulipo,nilipo Na popote tulipo haki Na ukweli ndivyo husikilizwa Na havimsikilizi mtu.Wengi wetu tuna lalama kuhusu maisha magumu kumbe tunaishi Kwa kuigiza Na njia za panya.
 
Panya ni mdogo kwa umbo ila athari na adhaa zake ni komesha....hushambulia mazao !!!
 
Waungwana siku hizi aghlabu kuwapata, staha imetoweka ndiyo sababu watu tuna kwazana kwenye matumizi ya lugha
Lugha yako hii imenigusa na kunikumbusha wakongwe wengi waliyotangulia, kweli hawakujali mali wala jaha walilolijali ni kuunda utamaduni na malezi kwa vizazi vya kiswahili na umoja wa kitanzania.....
 
Kitanzania kwa karne hii kuropoka maneno ya hovyo ni sawia,nasi wa karne ile iliyopita ukikemea utovu wa nidhamu utaambiwa umepitwa na wakati.
 
Wakati ni kama upanga ukifyeka huondoa kilichochipuka !! Yaani tutapambana na hao wavunjaji na waharibifu wa maadili na haki tamaduni zizingatiwe....
 
Back
Top Bottom