Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Katiba ya mchezo huu yatutaka kuanza na neno la mwisho la aliyekutangulia kuweka bandiko lake, sio kuendeleza bandiko utakalo wewe
Wewe umesema vizur sana, wengi wao hawajui katiba ya mchezo huu, wamezoea kukanyaga katiba zingine, hawajui tunauhuisha Uzi huu na jf kwa ujumla, kongole kwa muanzisha Uzi na Mimi pia
 
Pia nami nilichemka kwa kumreply mchangiaji wa mwezi August.. nimejikuta nadandia treni kwa mbele.
 
Mbele yetu nyuma yako...tutakukumbuka sana Mwalimu Nyerere (R.I.P) hasa katika kipindi hiki ambapo baba Jeskar ameshika usukani akitupeleka kwenye Tanzania ya viwanda
 
Back
Top Bottom