mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Kwao ukitaka kwenda usafiri pekee wa huko ni treniHawajasoma sababu maisha yamekua magumu kwao
Kwao ukitaka kwenda usafiri pekee wa huko ni treniHawajasoma sababu maisha yamekua magumu kwao
Tutaonana mbele ya mahakama ntakupa talaka yako papo hapo!!!!Kunako majaliwa tutaonana
Hapo hapo usiendelee kiwatengu asije kukusikiaTutaonana mbele ya mahakama ntakupa talaka yako papo hapo!!!!
Kukusikia kishakusikia kantuma nimjibie mwendelee tu na talaka
Talaka tatu simpi ila namtwanga na moja hadi ashike adabu.. halafu ndo ntamrudisha kwa masharti.....Kukusikia kishakusikia kantuma nimjibie mwendelee tu na talaka
Masharti huvunja ndoa ishi kwa uaminifu tuTalaka tatu simpi ila namtwanga na moja hadi ashike adabu.. halafu ndo ntamrudisha kwa masharti.....
Kukusikia kishakusikia kantuma nimjibie mwendelee tu na talaka
Tu tutaelewana tukifika kwa wazee... maana umekuwa mkaidi kupindukia sasa mie nifanyejee?
Nifanyeje sio jibu sahihi ni dalili ya udhaifuTu tutaelewana tukifika kwa wazee... maana umekuwa mkaidi kupindukia sasa mie nifanyejee?
Udhaifu unao uonesha mkuu Zamiliun haufai kabsa
Kabisa unatakiwa kunitibu na kunitunza kwa uangslifu hadi hali yangu iimarike vizuri huo ndo mtumzo wa mwenza.....Udhaifu unao uonesha mkuu Zamiliun haufai kabsa
Mwenza wake ndiyo msiri anaemuaminiKabisa unatakiwa kunitibu na kunitunza kwa uangslifu hadi hali yangu iimarike vizuri huo ndo mtumzo wa mwenza.....
Anaemuamini Mwenyezi Mungu atakuwa katika hifadhi na himaya imara hapa duniani...Mwenza wake ndiyo msiri anaemuamini
Anaemuamini Mwenyezi Mungu atakuwa katika hifadhi na himaya imara hapa duniani...
Duniani tu ZZ na akhera pia ukifanya mambo mazuri Na kukataza mabaya.