Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nyuma ya kila jambo kuna ukweli kujitokeza kama siyo leo basi kesho... Wadhungu husema "time will tell" jamani tuogope dua za Wanyonge !!
Wanyonge ni hapa dunia mbele ya Muumba wote tunahadhi sawa na waswahili wamesema “Dua la mnyonge haliendi joshi”
 
MUNGU haandikwi kwa herufi ndogo ww chuma cha mjerumani

Mjerumani anatengeneza magari mazuri.Lakini wee Levels Nani kakuambia Mungu haiandikwe Kwa herufi ndogo? Ndio maana tunaandika
MwenyeEzMungu kutoa heshima zote.
Na bila ya huu mchezo unaotaka ufutwe humu JF usingi weza kujifunza.
 
Kujifunza hakuna mwisho katika hii dunia wala hakuna mipaka
 
Back
Top Bottom