Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nijulishe, Muefeso ni moja ya makabila ya mashariki ya kati wakati Biblia ikiandikwa.

Ikiandikwa Kwa jina lingine Ni Ephesus.Huu Ni mji wa zamani ambao uko Uturuki Na Watu walioishi hapo Kwa Kiswahili wanaitwa Waefesona.Huo mji ndio uliokuwa njia panda ya biashara bara la Ulaya Na Asia.Vile vile kuna kanisa Au nyumba ya Mary kabla hajajifungua )Maktaba ya Celsus(tunatumia kupima kiwango cha joto Na baridi Na wanasayansi wengi wakiishi hapo.
 
Mshindi hongera zako, hapa ni mwendelezo tu hakuna wa mwisho.
 
Mwisho hauwezi tokea mpaka apatikane mshindi, ambaye nadhani kwa haraka haraka atakuwa ni mimi apa.
 
Apa/ hapa inabidi uhakikishe hakuna atakayeweka bandiko baada yako ili uwe mshindi. Usikate tamaa, tembelea mara kwa mara, penye nia pana njia.
 
Wapi? Kwenye ushindi anaoutaka wa kuwa wa mwisho
 
Yote haya yametokana na alieanzisha huu mjadala,na huu ni ujumbe wa mwisho.....aksanteni kwa kushiriki.
 
Back
Top Bottom