Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mtanange huu hauishi leo wala keshoUmeisha?hakuna kujitangaza mpaka utangazwe na kamati inayoratibu mtanage
Mtanange huu hauishi leo wala keshoUmeisha?hakuna kujitangaza mpaka utangazwe na kamati inayoratibu mtanage
Kesho n siku yang ya kuzaliwaMtanange huu hauishi leo wala kesho
Kuzaliwa ni sherehe ya kwanza ya mwanadamu ikifuatiwa na mapenzi na mwisho ni kifoKesho n siku yang ya kuzaliwa
Mwisho wa huu mchezo n liniDunia haina mwisho ila viumbe vyake ndo vina mwisho
Mwisho wa huu mchezo n lini
Keyboard yangu Ina stuck naandika utumboLini tutaonana uso kwa uso badala ya kujificha kwenye keyboard
utumbo wa mbuzi wafaa sana kwa supuKeyboard yangu Ina stuck naandika utumbo
Utumbo wa kuku wa DarKeyboard yangu Ina stuck naandika utumbo
Supu ya kuku wa kienyeji naipendautumbo wa mbuzi wafaa sana kwa supu
Naipenda kwa7bu ni tamuSupu ya kuku wa kienyeji naipenda
Tamu n yenye sukariNaipenda kwa7bu ni tamu
Sukar imeshuka beiTamu n yenye sukari
Supu ya kuku wa kienyeji naipenda
Tamu n yenye sukari
Elekezi no ninisukari inapatika kwa wingi baada ya bei elekezi
hiki kiserikali cha magufuli utakiona kina zingua iwapo dingi wako atatumbuliwaNini maana ya neno elekeza, kwamba serikali imetoa muongozo (mwelekezo) kuwa kuanzia sasa bei ya sukari ni kiasi hiki.