al-wakat muswadik
Member
- Jun 14, 2016
- 50
- 14
Hatufuati KVP labda
Labda nikuelimishe kidogo al-wakat muswadik, kama unataka kuchangia huu UZI utaanza sentensi yako kwa kuanza na neno la mwisho lilioandikwa kwenye post ya mwisho mfano:-Hatufuati KVP labda
Mkali ni jina la mchezaji wa kimataifa wa South Sudan...!!!Labda nikuelimishe kidogo al-wakat muswadik, kama unataka kuchangia huu UZI utaanza sentensi yako kwa kuanza na neno la mwisho lilioandikwa kwenye post ya mwisho mfano:-
Umeandika:-
Baba ni mwalimu
Anaefata ataanza na:-
Mwalimu ni mkali
Sudan ya kusini kuna utajiri wa mafuta lakini, haya chimbiki kwa vita ya wenyewe kwa wenyeweMkali ni jina la mchezaji wa kimataifa wa South Sudan...!!!
Yao ni kabila linalotokea kusini mwaTZ, Yao ni yao sisi hatuwaingili watayamaliza huko kwa wazeeWenyewe wanajua mambo yao
Wazee siku hizi wanajikataa na uzee waoYao ni kabila linalotokea kusini mwaTZ, Yao ni yao sisi hatuwaingili watayamaliza huko kwa wazee
Wao wajikataae tu, sisi tutawasindikiza hadi makaburini.....Wazee siku hizi wanajikataa na uzee wao
Yao yanawafaa wenyeweWenyewe wanajua mambo yao
Wenyewe waliyatelekeza mashamba kwa kuhofia mafuriko !!!Yao yanawafaa wenyewe
Wenyewe wanatutegemea tukiwepo kati yao watazungumzaYao yanawafaa wenyewe
Mfuriko ya Ngorongo RufijiWenyewe waliyatelekeza mashamba kwa kuhofia mafuriko !!!
Watazungumza na wapinzani katika kikao cha mwaanzo, ila hawatazungumza na waasi waliyoviamia mpakani.....Wenyewe wanatutegemea tukiwepo kati yao watazungumza
Rufiji ni sehemu pekee ambayo sijaitembelea hapa nchini.....ila natafuta wa kwenda nae kutalii..Mfuriko ya Ngorongo Rufiji
Kutalii mi nimekwisha talii nimepita mitaa ya kibiti,Kimbuga,Miwaga, kilimani,Ngorongo,Ruwe,Mkupuka, Ikwiriri,Nyamwage,Jaribu, Somanga,Nyamisati,Mkongo Mpaka Utete Makao Makuu ya wilaya.Rufiji ni sehemu pekee ambayo sijaitembelea hapa nchini.....ila natafuta wa kwenda nae kutalii..
Pwani mwaTanzania kumebarikiwa heri nyingi, maana kila ajae huku anafanikiwa makazi mazuri, maisha ya kutanuka.....Nafuu hakuna kwa wilaya zote za mkoa wa Pwani
Kutanuka kunahitaji uwanja au nafasi panaPwani mwaTanzania kumebarikiwa heri nyingi, maana kila ajae huku anafanikiwa makazi mazuri, maisha ya kutanuka.....