pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,558
- 2,932
ipasavyo kwa mshindi ni kuwa wa mwisho kupost, usiandike baada ya hapa mshindi ni pleo.Watoto ni baraka kutoka kwa muumba, hivyo jukumu letu kuwatunza na kuwalea kimaadili ipasavyo !!
ipasavyo kwa mshindi ni kuwa wa mwisho kupost, usiandike baada ya hapa mshindi ni pleo.Watoto ni baraka kutoka kwa muumba, hivyo jukumu letu kuwatunza na kuwalea kimaadili ipasavyo !!
Pleo ushindi haupatikani mezani au kirahisi kama unavyofikiri, lazima utoke jashoipasavyo kwa mshindi ni kuwa wa mwisho kupost, usiandike baada ya hapa mshindi ni pleo.
Jasho la mlala hoi liheshimike kama jembe la mkulima na nyundo la seremala.... hao wote wanajenga taifa imara!!Pleo ushindi haupatikani mezani au kirahisi kama unavyofikiri, lazima utoke jasho
Imara na madhubuti hufanya bidhaa kupendwa na wateja hivyo kuwa adimu sokoniJasho la mlala hoi liheshimike kama jembe la mkulima na nyundo la seremala.... hao wote wanajenga taifa imara!!
Mawazo hayawezi pungua wakati kuna maisha magumu yaliyosababishwa na udhaifu wa CCMlock haitoki bar ladba upunguze mawazo
CCM haiwezi kukosa lawama kwa kuwa viongozi wake wapo madarakaniMawazo hayawezi pungua wakati kuna maisha magumu yaliyosababishwa na udhaifu wa CCM
Madarakani daima kuna lawama na kutopendwa na baadhi ya watu, kwa kuwa huwezi kuwaridhisha wote mapungufu yapo la muhimu kutekeleza majukumu !!CCM haiwezi kukosa lawama kwa kuwa viongozi wake wapo madarakani
Msingi imara unahitajika mashuleni ili kupatikane wasomi wenye utashi.....Majukumu ndo jambo la msingi
BinaAdamu timamu yule hutimiza ahadi zake na mwenye kula cha halali yake bila kujifedhulisha kwa yasiyo muhusu !!!utashi humtambulisha binadamu!
kuhusu kufuatilia mambo ya watu na kutafuta umbea....Kuhusu nin &&&&&&
Sana sana tabia hiyo huishia kuumizana na kuleta mtafaruku kwa jamii... ni bora kujirekebisha !!Umbea ni tabia mbaya sana
Kujirekebisha hasa kwenye kauliSana sana tabia hiyo huishia kuumizana na kuleta mtafaruku kwa jamii... ni bora kujirekebisha !!
Mtu inakubidi uwe mwangalifu kutoingia matatizoniKauli inaweza kumuua au kumhuisha mtu.
Matatizoni hutokea kwa kupatikana ukurupushani pasipo na umakini wa jambo, hivyo jiepushe mapema kabla ya maji kumwagika .....Mtu inakubidi uwe mwangalifu kutoingia matatizoni