Mbadala utaamuliwa na wananchi na ridhaa ya wote !! Katiba ndiyo dira ya kutuongoza taifa letu, hivyo watake au wasitake masilahi ya Umma ndiyo kipaumbele... !!!Wamekwazika na kubadili mwelekeo, ila umoja na umakini unakosekana katika adhma yao ya kuwa chama mbadala.
Unachofikiria kuwa ndicho kumbe sicho, japo tuzidi kushawishiana katika elimu kwa wote ilimradi tusibaki mbumbumbu....Kipaumbele cha kwanza ELIMU katika kila unachofikiria
Mtupu nalo ni neno lenye kuleta mtafaruku... tunaweza kutumia neno muflisi.... !!Mbumbumbu ni jina baya sana inainyesha mtu kuwa mtupu
Muflisi hili neno geni miongoni mwetu,kuna tv moja ikiwa inatangaza habari huweka neno geni MUBASHARAMtupu nalo ni neno lenye kuleta mtafaruku... tunaweza kutumia neno muflisi.... !!
Mubashara ni neno la kiarabu yaani "kubashiria jambo live" na kwa kiingereza ni LIVE on air.. sasa ukiletewa ujumbe live hewani wasema Mubashara !! Kuhusu Muflisi ni mtu aliye filisika !!Muflisi hili neno geni miongoni mwetu,kuna tv moja ikiwa inatangaza habari huweka neno geni MUBASHARA
Kiakili na kipato matokeo ni kupata wazimuFilisika ki fedha sio kiakili...
Wazimu wa kichaa ulisababisha barabara kufungwa na raia kuhaha kumdhibiti......Kiakili na kipato matokeo ni kupata wazimu
Kumdhibiti Lowassa sharti atumbuliwe tu maana hakuna njia nyingineWazimu wa kichaa ulisababisha barabara kufungwa na raia kuhaha kumdhibiti......
Nyingine siyo busara kupoteza nguvu na nishati zetu za kimwili kwa kutafutana nam kukomoana, Tutume akili za kimaendelo na kujicomoa ktk shimo la huu umasikini........Kumdhibiti Lowassa sharti atumbuliwe tu maana hakuna njia nyingine
Mwanadamu ni mwema asiyesahau wema hapo hapo ni mkatili kupita maelezo huyo ndiyo binadamu !!Umasikini na Ujinga ndio changamoto za kila siku za maisha ya mwanadamu.
Mwangalifu kwa kutunza watoto wa chekechea ni mwanamke mtu mzima ndiyo anakubalika...Binadamu hatabiriki, daima kuwa mwangalifu.
Watoto ni baraka kutoka kwa muumba, hivyo jukumu letu kuwatunza na kuwalea kimaadili ipasavyo !!Anakubalika zidi mwenye upendo wa dhati kwa watoto.