T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Dawa ya kuongeza nguvu za kike ninayo mimi kama unahitaji.sikio la kufa haliskii dawa
Dawa ya kuongeza nguvu za kike ninayo mimi kama unahitaji.sikio la kufa haliskii dawa
Unahitaji mademu wakali? Ni pm nikupe namba zaoDawa ya kuongeza nguvu za kike ninayo mimi kama unahitaji.
Ugoro ni dawa yakurudisha bikra upya au hufanya papuchi inakuwa mnato,kavu haina uterezi.tumbaku chuga tunatengenezea ugoro
Utaratibu wa mambo ndiyo tuutakao katika uzi huu ili tuweze kukuza na kuboresha lafudhi za Kiswahili.....Hovyo hovyo wenzetu wanachangia humu bila kujali utaratibu.
Kiswahili hakieleweki jaribu kutumia kimafiaUtaratibu wa mambo ndiyo tuutakao katika uzi huu ili tuweze kukuza na kuboresha lafudhi za Kiswahili.....
Kabisa umelitambuwa hilo... Lakini kuna watu wa jirani ya nchi hii wanalishughulikia hadi kujipatia uamaarufu wa UProfesa wa lugha ya Kiswahili huko ng'ambo....kiswahili lugha ya taifa ila ua tz hatuienzi kabisa
ngambo wanatamani kukijua huku kwetu mtu akisoma english coz wiki mbii ashakua mzunguKabisa umelitambuwa hilo... Lakini kuna watu wa jirani ya nchi hii wanalishughulikia hadi kujipatia uamaarufu wa UProfesa wa lugha ya Kiswahili huko ng'ambo....
Mzungu na ndugu zake wanakifuata hadi huku kwetu, Sasa ni jukumu letu kulinda.....ngambo wanatamani kukijua huku kwetu mtu akisoma english coz wiki mbii ashakua mzungu
Kulinda hatuwezi kujifundisha pia mgogoro!Mzungu na ndugu zake wanakifuata hadi huku kwetu, Sasa ni jukumu letu kulinda.....
Shwari kwa kuwa amani inatawalaMgogoro wa nini kama vitu vyote Biko Shwari
Shwari kwa kuwa amani inatawala
Kwani ni lazima kujua awamu tuliyopo?inatawala serikali ya awamu ya ngapi kwani?
Tuliyopo sii vibaya kumjuza ila kabla ya kujua tunamuuliza kwani muuliza swali ni Mtanzania?Kwani ni lazima kujua awamu tuliyopo?