Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Hapo ulipo kuna Kazi?Madogo ila mengi, kazi ipo hapo
Hapo ulipo kuna Kazi?Madogo ila mengi, kazi ipo hapo
Kazi ipo kwa mtumbuajiHapo ulipo kuna Kazi?
Mtumbuaji wa majipu tumemzoea, mtumbuaji wa chunusi wapi anapatikana?Kazi ipo kwa mtumbuaji
Anapatikana msitu wa MagwepandeMtumbuaji wa majipu tumemzoea, mtumbuaji wa chunusi wapi anapatikana?
Mabwepande tena!! Mmh hiyo sasa hatari.Anapatikana msitu wa Magwepande
Hatari kuanya biashara bila kusajili TRA, waweza taifishwa rasilami zako bila fidia....Mabwepande tena!! Mmh hiyo sasa hatari.
Fidia ya malipo yangu mpaka sasa sijalipwa...Hatari kuanya biashara bila kusajili TRA, waweza taifishwa rasilami zako bila fidia....
Sijalipwa ujira wangu japo niliwajibika na kukamilisha makubaliano.....Fidia ya malipo yangu mpaka sasa sijalipwa...
Sijalipwa ujira wangu japo niliwajibika na kukamilisha makubaliano.....
Sijalipwa ujira wangu japo niliwajibika na kukamilisha makubaliano.....
Wawili tu ndiyo wafichae siri, Siku hizi uaminifu ni uungwana adimu !!makubaliano ya mapenzi ya dhati huwa ya watu wawil...
Adimu unekuwa uaminifu na umeadimika mnoWawili tu ndiyo wafichae siri, Siku hizi uaminifu ni uungwana adimu !!
Mno mnono, chepsi rahisi sijui tushike ipi, waswahili wana methali zao asiye kujua hakuthamini.....😛Adimu unekuwa uaminifu na umeadimika mno
Hakuthamini sababu huna uhusiano nae,hakuhusu ndewe wa sikioMno mnono, chepsi rahisi sijui tushike ipi, waswahili wana methali zao asiye kujua hakuthamini.....😛
Hakuthamini sababu huna uhusiano nae,hakuhusu ndewe wa sikio
Sikio langu leo linauma sijuo nimelogwa?Hakuthamini sababu huna uhusiano nae,hakuhusu ndewe wa sikio
Baridi husababisha maumivu ya sikio?Umelogwa? Acha upuuzi.Vaa kofia ujikinge na baridi