Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Zake 40 zilipokifa akatiwa mbaroni na kufikishwa mbele ya sheria.....Akili ni nywele kila mtu ana zake!
Zake 40 zilipokifa akatiwa mbaroni na kufikishwa mbele ya sheria.....Akili ni nywele kila mtu ana zake!
Sheria ni msumeno, hukata huku na huku.Zake 40 zilipokifa akatiwa mbaroni na kufikishwa mbele ya sheria.....
Huku kwetu kunanyesha mvua, vipi kwenu kukavu?Sheria ni msumeno, hukata huku na huku.
Huku kwetu Magufuli Katumbua majipu kasoro Mimi nimekuwa jipu gumuSheria ni msumeno, hukata huku na huku.
Gumu kuliko nazi au jiwe la kigingi, wanakuja na vifaa maalum vya utumbuaji !!!Huku kwetu Magufuli Katumbua majipu kasoro Mimi nimekuwa jipu gumu
Utumbuaji wa mwendo kasi.Gumu kuliko nazi au jiwe la kigingi, wanakuja na vifaa maalum vya utumbuaji !!!
Mwendo kasi unaua, twendeni aste aste....Utumbuaji wa mwendo kasi.
Aste aste ni mwendo wa kizee, wakati huu ni chapchap kizazi kipya na simu zenye mitandao barabarani......Mwendo kasi unaua, twendeni aste aste....
Barabarani siku hizi wanalala machiziAste aste ni mwendo wa kizee, wakati huu ni chapchap kizazi kipya na simu zenye mitandao barabarani......
Machizi wala mizizi, hawasikilizi hata kwa mgomba wa ndizi, mkizi hupiga mbizi......😀Barabarani siku hizi wanalala machizi
Mbizi huwezi kupiga kama hujui kuogelea la sivyo utageuka Nyambizi.Machizi wala mizizi, hawasikilizi hata kwa mgomba wa ndizi, mkizi hupiga mbizi......😀

Nyamizi siku mbili hizi hashikikiMbizi huwezi kupiga kama hujui kuogelea la sivyo utageuka Nyambizi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
"Nyambizi nakupenda japo mkubwaa...." Teh umenikumbusha enzi za Dully sykes, sijui aliwaza niniMbizi huwezi kupiga kama hujui kuogelea la sivyo utageuka Nyambizi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hashikiki kwani yeye mshkikaki...Nyamizi siku mbili hizi hashikiki
Wastani ndiyo kiwango cha mtu alotimamu bila kuwa mkali na mkorofi.....Mshikaki huchomwa kwenye moto wa wastani
Mkorofi ni Magufuli wenu kunitumbua jipuWastani ndiyo kiwango cha mtu alotimamu bila kuwa mkali na mkorofi.....
Jipu likiiva dawa ni kulitumbua hakuna mbadala labda ulalamike umetumbuliwa bila GanziMkorofi ni Magufuli wenu kunitumbua jipu
Ganzi ni muhimu ktk utumbuaji majipu madogo madogo.Jipu likiiva dawa ni kulitumbua hakuna mbadala labda ulalamike umetumbuliwa bila Gazi