Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Uongozi haubagui Mume wala Mke hususani kwa karne hii tuliopo.Wenyewe hasa wake itakuwa ngumu hususani kwa mambo yanayohusu uongozi
Uongozi haubagui Mume wala Mke hususani kwa karne hii tuliopo.Wenyewe hasa wake itakuwa ngumu hususani kwa mambo yanayohusu uongozi
Tuliopo tunalijua hilo siku zote mwanamke si mtoa maamuzi magumuUongozi haubagui Mume wala Mke hususani kwa karne hii tuliopo.
Tuliopo mtandaoni humu tumeshasajiliwa katika daftari la intelijensia kwa usalama.....Uongozi haubagui Mume wala Mke hususani kwa karne hii tuliopo.
Magumu yanatatuliwa kwa hekima....Tuliopo tunalijua hilo siku zote mwanamke si mtoa maamuzi magumu
Wanaume ni kiongozi wa Wanawake katika hali ya maumbileHekima imejaaliwa kwa wote, wanawake na wanaume
Maumbile ya kike yana himili mihemko ya hapo kwa hapo bila kuterereka.. tofauti na kutamkini kwa mwanaume ambaye hutatua jambo moja kwa wakati maalum.....Wanaume ni kiongozi wa Wanawake katika hali ya maumbile
Maumbile makubwa ama madogo si tija, ufundi ndio kila kitu.Wanaume ni kiongozi wa Wanawake katika hali ya maumbile
Kitu kilicho zidi kwa mwanmke ni ile mbavu ya saba waliyo kuwa nayo....Maumbile makubwa ama madogo si tija, ufundi ndio kila kitu.
Kuwa nayo macho si lazima uwe unaona, unaweza kuwa nayo na usione.Kitu kilicho zidi kwa mwanmke ni ile mbavu ya saba waliyo kuwa nayo....
Usione kwa sababu umefumba machoKuwa nayo macho si lazima uwe unaona, unaweza kuwa nayo na usione.
Usione nateseka sasa ipo siku yangu nitapataKuwa nayo macho si lazima uwe unaona, unaweza kuwa nayo na usione.
Nitapata nilichokusudia kukopa mtaji.....Usione nateseka sasa ipo siku yangu nitapata
Mtaji si kukopa, mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, wahenga walisema...Nitapata nilichokusudia kukopa mtaji.....
Walisema zamani na sasa tubadilishe, "Mtaji wa Maskini ni Akili zake"Mtaji si kukopa, mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, wahenga walisema...
Bure siku hizi hakuna,bora utumie nguvu uondokane na umasikiniWalisema zamani na sasa tubadilishe, "Mtaji wa Maskini ni Akili zake"
Nguvu bila Akili ni kazi bure.
Umaskini ukiuendekeza waweza mtoa nduguyo kafara, ili kuepukana na hayo ni vema tutumie akili katika kuchanganua maisha yetu kuliko nguvu.Bure siku hizi hakuna,bora utumie nguvu uondokane na umasikini
Nguvu kijijini, mjini akili.Umaskini ukiuendekeza waweza mtoa nduguyo kafara, ili kuepukana na hayo ni vema tutumie akili katika kuchanganua maisha yetu kuliko nguvu.
Akili ni nywele kila mtu ana zake!Nguvu kijijini, mjini akili.