mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Wenyewe ni wewe pamoja na sisi na majiraniMwilini kuna vitu vingi,lakini hili saula la pombe tuwaachie wenyewe!
Wenyewe ni wewe pamoja na sisi na majiraniMwilini kuna vitu vingi,lakini hili saula la pombe tuwaachie wenyewe!
Majirani ni sisi kwa sisi.. hapo ndipo tunaunda jamii na taifa lenye kujitambua hivyo tushikamane kwa umoja huu bila kuacha miyanya ya kututenganisha....... !!!Wenyewe ni wewe pamoja na sisi na majirani
Kututenganisha kunawezekana ikipita fitna za wenye husdaMajirani ni sisi kwa sisi.. hapo ndipo tunaunda jamii na taifa lenye kujitambua hivyo tushikamane kwa umoja huu bila kuacha miyanya ya kututenganisha....... !!!
Husda, chuki na hikdi ni tabia mbaya sana... kwanza inakula nafsi na inajenga uadui ndani kwa ndani hatimae husababisha magonjwa yasiyojulikana.....Kututenganisha kunawezekana ikipita fitna za wenye husda
Yasiyojulikana na yaliyoshindikana kupata tiba hapa DunianiHusda, chuki na hikdi ni tabia mbaya sana... kwanza inakula nafsi na inajenga uadui ndani kwa ndani hatimae husababisha magonjwa yasiyojulikana.....
Duniani kumekuwa na matukio ya kutovumiliana kati ya makundi mbalimbali.. jee, huu msukumo au shinikizo la kibano??Yasiyojulikana na yaliyoshindikana kupata tiba hapa Duniani
Mungu si athumani, siye hatuna elimu ya ughaibu kujua ya kesho......Mabaya yatakujaje kama sisi sote tunamuamini Mungu.
Atajuta majuto ya FirauonMabaya sio mazuri kuwafanyia wengine kwan ukifanyiwa wewe utajuta
Firauon aliangamia lakini aliacha hulka zake zikidumishwa na baadhi ya viongozi wa kisasa.......Atajuta majuto ya Firauon
Kisasa haswa na hawaoni haya wala hawajisiki vibaya na wataangamiaFirauon aliangamia lakini aliacha hulka zake zikidumishwa na baadhi ya viongozi wa kisasa.......
Wataangamia wale waliyo kufuru neema walizopewa na Mwenyeezi Mungu Muumba wa kauni na vyote vilivyomo.....Kisasa haswa na hawaoni haya wala hawajisiki vibaya na wataangamia
Vilivyomo ardhini na mbinguni vyote yeye ndiyo MmilikiWataangamia wale waliyo kufuru neema walizopewa na Mwenyeezi Mungu Muumba wa kauni na vyote vilivyomo.....
Mmiliki wa kampuni ya uhasibu wa mapato yupo mahakamani kujibu tuhuma.....Vilivyomo ardhini na mbinguni vyote yeye ndiyo Mmiliki
Wake kwa Waume wanapaswa wajisimamie wenyewe.Serikali inahitaji usimamizi wa haki na sheria kwa watu wake
Wenyewe hasa wake itakuwa ngumu hususani kwa mambo yanayohusu uongoziWake kwa Waume wanapaswa wajisimamie wenyewe.