Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wanafunzi waachwe wasome, mwalimu yeyote anayeanzisha uhusiano usiofaa na mwanafunzi ni wa kuachishwa kazi.
Kazi kubwa ipo kuweza kuwatenganisha watu hawa wawili (waalimu na wanafunzi) maana mfumo wa shule zote lazima haya makundi mawili yawe na ukaribu sana ktk utekelezaji !!!
 
Ataishi vipi, ni swali analopaswa mwalimu kujiuliza kabla hajaanza uhusiano na mwanafunzi, kwani binti akipewa ujauzito na mtoto wa kiume akawekwa nyumbani na mwalimu wa kike basi hakutakuwa na shule
 
Utekelezaji wa majukumu uzingatiwe, mwalimu afundishe na mwanafunzi ajisomee, si zaidi ya hayo
Hayo ni mambo yaliyozoeleka na kuendekezwa na baadhi ya jamii, maana hawafuatilii mwenedo wa watoto na ndipo waalimu hujinyakulia fursa za kirahisi.......
 
Hayo ni mambo yaliyozoeleka na kuendekezwa na baadhi ya jamii, maana hawafuatilii mwenedo wa watoto na ndipo waalimu hujinyakulia fursa za kirahisi.......
Kirahisi inawezekana vipi mwalimu kujamiana na mwanafuzi!? Dunia imepinda na mwalimu afanyae hicho kitendo anakiuka maadili ya kazi yake, sheria ichukue mkondo wake,visa kama hivi viliwahi kutokea miaka ya nyuma japo wahusika hawakuwa walimu, walipewa adhabu ya kufungwa gerezani.
 
Gerezani kumejaa wafunguwa hadi kufurika, Na kila siku idadi ya wahalifu inaongezeka....
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Inaongezeka kwa kuwa hatuna suluhisho la kutengeneza ajira zaidi, hatutoi elimu juu ya madhali ya kufanya uhalifu ili raia wajiepushe nayo
 
Inaongezeka kwa kuwa hatuna suluhisho la kutengeneza ajira zaidi, hatutoi elimu juu ya madhali ya kufanya uhalifu ili raia wajiepushe nayo
Nayo uliyosema nikweli kabisa ya laiti hao wanasiasa wanao pandaga juu ya majukwaa wa elimishe wafuasi wao, badala ya kujitafutia umaarufu !!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kadhaa ungetaja baadhi ya maradhi kwa faida ya wagonjwa kupata tiba mbadala
Mbadala wa madawa ya kemikali (chemist medicines) nataja kama ifuatayo:~

1.Coconut milk inafaida ya kukupa Minerals na Vitamins D, C, E pia hukuepusha na anemia, hupunguza shinikizo la damu, huongeza kinga ya mwili na huponyesha madonda mbalimbali na ya tumbo... !!

2.Ndimu/limau na karafu ukiweka chumbani hutopata magonjwa ya malaria/dengue... !!

3. Maganda ya matikiti maji nayo ni mazuri kwa kubobeza nguvu za maRijali... !!

4. Mamung'unya ya kijani nayo faida nyingi nzuri kwa kuondoa sumu ndani ya mwilini... !!
 
Back
Top Bottom