Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Ubabe una mwisho wake, ukitumia akili na busara utaepuka madhara ya walimwengu......utaumia ukileta ubabe
Ubabe una mwisho wake, ukitumia akili na busara utaepuka madhara ya walimwengu......utaumia ukileta ubabe
Aje haraka kwakweli, akichelewa atatukuta tumemalizana woteWalimwengu wamechoka, bora Yesu aje
Papara hazina maana mwisho wa siku unatakula mchele wenye chuyaWote tuwe na subira, tuchukuliane kwa upole, tuwe na uvumilivu, maisha yana changamoto tusifanye papara
Papara papara haina Baraka tutazame vipi uhai wetu kwa jicho la tatu......Wote tuwe na subira, tuchukuliane kwa upole, tuwe na uvumilivu, maisha yana changamoto tusifanye papara
Muhimu ni kubeba majukumun ya familia na kuhakiksha safari unafika.....Tatu ni zaidi ya mbili na moja, umakini katika maisha ni muhimu
Unafika kwa sababu njia yote ya lamiMuhimu ni kubeba majukumun ya familia na kuhakiksha safari unafika.....
Lami ni kiungo kinachotokana na mafuta machafu yanayo chimbwa huko jangwani......Unafika kwa sababu njia yote ya lami
Jangwani tulikuwa tunaona mti wa mtende pekee ndiyo wenye bahati kuota huko,siku hizi mazao mengine yanalimwa piaLami ni kiungo kinachotokana na mafuta machafu yanayo chimbwa huko jangwani......
Pia kuna mashamba ya kisasa yaliyotokana na mchanga kwa jangwa kugeuzwa kuwa kilimo cha kisasa......Jangwani tulikuwa tunaona mti wa mtende pekee ndiyo wenye bahati kuota huko,siku hizi mazao mengine yanalimwa pia
Kisasa ni sehem ipo Dodoma.Pia kuna mashamba ya kisasa yaliyotokana na mchanga kwa jangwa kugeuzwa kuwa kilimo cha kisasa......
Dodoma ndiyo makao makuu ya serikali japo bado shughuli nyingi muhimu zipo Dar-es-salaam lakini tusisahau mwanabodi mwenzetu Mgogoone ndiyo Mtemi.Kisasa ni sehem ipo Dodoma.
Nguvu kutumiwa na mtawala ni kawaida bila kuonyesha nguvu za utawala unaweza kuondolewa madarakaniMtemi ana sifa ya kutumia nguvu
Nguvu kutumiwa na mtawala ni kawaida bila kuonyesha nguvu za utawala unaweza kuondolewa madarakani
Wengi wao wanatumia madaraka vibaya na kuwaumiza wananchi.Madarakani nimetoka ndugu Mtebetini maana watemi wamekuwa wengi
Wengi wao wanatumia madaraka vibaya na kuwaumiza wananchi.
Wananchi wana imani na chama cha mapinduzi.