Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wakukaripia hakuna kwa sababu waliopewa nyadhifa hawana uzalendo na weledi wa taaluma zao
 
Wao wameacha kutumia ufahamu wa elimu yao kwa kusikiliza kelele za wapambe
 
Mwisho yatawakuta kama yaliyotokea huko Misri kwa Mubarak na Tunisia kwa Zain bin Ali walifedheheshwa na kutokomezwa...!!!
 
Back
Top Bottom