Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Uingereza ndiyo nchi iliyokuwa makoloni mengi hapa Ulimwenguni.....Dola ina thamani kubwa kwa shilling ya Tanzania lakini Paundi ya Uingereza
Uingereza ndiyo nchi iliyokuwa makoloni mengi hapa Ulimwenguni.....Dola ina thamani kubwa kwa shilling ya Tanzania lakini Paundi ya Uingereza
Hawajuwani ilhali wanakaa kwenye kabati moja
Tu ndu bovu hunasa ndege mjanja......Moja ingewatosha kama sio tamaa zao tu
Tu , tatizo ni kwamba uroho ni mbayaMoja ingewatosha kama sio tamaa zao tu
Mbaya wao ni yule asiyekubali kujirekebisha !!!Tu , tatizo ni kwamba uroho ni mbaya
Mbaya wao ni yule asiyekubali kujirekebisha !!!
Tutajifunza baada ya kukosea mara 2~3 lakini mwisho wa siku tupate tija......Kujirekebisha kutakuja baada ya makosa ila kwa sasa ni kazi tu
Tija huendana na uhodari wa wananchi wa ngazi mbalimbaliTutajifunza baada ya kukosea mara 2~3 lakini mwisho wa siku tupate tija......
mbalimbali kati ya mabasi ya mwendokasi usafiri umekuwa unaukakasi........Tija huendana na uhodari wa wananchi wa ngazi mbalimbali
Unaukakasi umetanda kote kote kwa abiria na wafanyakazimbalimbali kati ya mabasi ya mwendokasi usafiri umekuwa unaukakasi........
Wafanyakazi hawaruhusiwi kuchati nyakati za kazi, ila wakurugenzi wanaweza kwenda kuzurura nje bila kuwajibishwa......Unaukakasi umetanda kote kote kwa abiria na wafanyakazi
Kuwajibishwa!! Wawajibishwe na nani wakati wa wanakula nchi kwa MrijaWafanyakazi hawaruhusiwi kuchati nyakati za kazi, ila wakurugenzi wanaweza kwenda kuzurura nje bila kuwajibishwa......
Mrija ule wa kunyonyea rasilimali za nchi ilikuwa kauli mbiu za Tanu enzi za Mwalimu.... !!Kuwajibishwa!! Wawajibishwe na nani wakati wa wanakula nchi kwa Mrija
Vizuri kula na wenzio, ila vibaya tupa mbali visiwakere majirani.....Mwalimu wetu alitufundisha jinsi ya kuishi na watu vizuri
Majirani zetu wana umoja na ushirikiano....Vizuri kula na wenzio, ila vibaya tupa mbali visiwakere majirani.....
Ushirikiano ndiyo ulileta shirikisho la Afrika MasharikiMajirani zetu wana umoja na ushirikiano....
Mashariki ya kati kuna vituko kila kukicha sababu zake ni mafuta !!!Ushirikiano ndiyo ulileta shirikisho la Afrika Mashariki
[/Kweli nchi imeliwa