Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Uhuru upi unaozungumzia? tofautanisha zamani na sasa halafu jumuisha yote upate jibu..Maisha ya sasa yanachangamoto sana tofauti na enzi zetu za kabla ya uhuru.
Uhuru upi unaozungumzia? tofautanisha zamani na sasa halafu jumuisha yote upate jibu..Maisha ya sasa yanachangamoto sana tofauti na enzi zetu za kabla ya uhuru.
Jibu ni kujituma tu na sio vinginevyoUhuru upi unaozungumzia? tofautanisha zamani na sasa halafu jumuisha yote upate jibu..
Vinginevyo vitafuata mkondo wa maendeleo.....Jibu ni kujituma tu na sio vinginevyo
Maendeleo ni nini?Vinginevyo vitafuata mkondo wa maendeleo.....
Nini mimi nikielewacho kuwa unapobadilika kutoka katika hali duni, Na kunyanyuka juu nakuwa ktk hali bora zaidi.....Maendeleo ni nini?
Zaidi ya lugha ya kiswahili sifahamu lugha nyingineNini mimi nikielewacho kuwa unapobadilika kutoka katika hali duni, Na kunyanyuka juu nakuwa ktk hali bora zaidi.....
Nyingine nizijuazo ni English,portugese,Arabic,urdu na lugha ya sukumaland kwa utukutu wangu wa utotoni niliambulia furushi la msamiati.....!!Zaidi ya lugha ya kiswahili sifahamu lugha nyingine
Chenga nyingi hupoteza magoli, Captain Azu piga bao zako mbili unyakuwe ubingwa....Msamiati niujuao uwe katika Kiswahili na Kiingereza licha kwamba kuna yanayonipiga chenga
Ubingwa hautolewi kama zawadi inabidi utole jashoChenga nyingi hupoteza magoli, Captain Azu piga bao zako mbili unyakuwe ubingwa....
Jasho la mlala hoi lazima liheshimike na kulipwa kadri ya mapatano.......Ubingwa hautolewi kama zawadi inabidi utole jasho
Biashara za ndani ya nchi zinalipa faida kubwa kuliko za nje, hivyo tuongeze juhudi kukuza mtandao wa ndani....Mapatano ya maandishi ni muhimu katika miamala ya biashara.
Ndani ya Mwaka mmoja maendeleo huwezi kuyapata kama hukufanya juhudiBiashara za ndani ya nchi zinalipa faida kubwa kuliko za nje, hivyo tuongeze juhudi kukuza mtandao wa ndani....
Juhudi za Mhe.rais JPM ndiyo zilizotumbua majibu sugu ambayo yalisababisha hasara.....Ndani ya Mwaka mmoja maendeleo huwezi kuyapata kama hukufanya juhudi
Haionekani maana yake adimu, na kitu kuwa adimu hupelekesha kupanda thamani juu Sasa uchumi utakuwa na bei zitateremka !!Hasara iliyo lipata taifa letu sio ndogo hadi wamemfanya Jpm kukaza hata pesa haionekani.
Dola hii ina makucha makali lakini hawajioneshi hadharani hadi uingi 18 zao... ndipo utakiona cha mtema kuni....!!!Zitateremka pale zitakapolinganishwa na thamani ya dola
Dola ina thamani kubwa kwa shilling ya Tanzania lakini Paundi ya UingerezaZitateremka pale zitakapolinganishwa na thamani ya dola