Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Dagaa wana virutubisho vingi kwa mwili ila jamii inachukulia ni chakula cha walalahoi
 
Dagaa wana virutubisho vingi kwa mwili ila jamii inachukulia ni chakula cha walalahoi
Walalahoi nijuavyo, ni wale watu wanaofanya kazi kutwa nzima, ikifika usiku wanakua wamechoka hoi bin taaban, ukiangalia hilo kwa jicho la tatu, utagundua kila mtu ni mlalahoi, awe mfanyakazi, mfanyabiashara, wa kushinda tu nyumbani hata watoto pia hulala hoi.
 
Back
Top Bottom