Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kokoto hutumika katika ujenzi wa jengo, barabara na daraja !!!Mpya na upya wake inavijibonde vidogo vidogo na ili kivilekebisha hatuna budi tutumie udongo kama c kokoto
Kokoto hutumika katika ujenzi wa jengo, barabara na daraja !!!Mpya na upya wake inavijibonde vidogo vidogo na ili kivilekebisha hatuna budi tutumie udongo kama c kokoto
Daraja ni kiunganishi/kivuko kutoka sehemu moja kwenda nyingineKokoto hutumika katika ujenzi wa jengo, barabara na daraja !!!
Nyingine ni solar itumiayo nguvu zajua kama mbadala ya umeme........Daraja ni kiunganishi/kivuko kutoka sehemu moja kwenda nyingine
Umeme kwetu Mbagala bado ni tatizo unakatwa mara kwa mara, tunategemea umeme wa majeneretaNyingine ni solar itumiayo nguvu zajua kama mbadala ya umeme........
Majenereta yanaongeza kelele na kusababisha uziwi kwa watoto wadogo...Lakini ndiyo hivo hakuna namna tuhimili tu hadi baadae....Umeme kwetu Mbagala bado ni tatizo unakatwa mara kwa mara, tunategemea umeme wa majenereta
Baadae nahisi ntaumwa tumbo maana linasokotaMajenereta yanaongeza kelele na kusababisha uziwi kwa watoto wadogo...Lakini ndiyo hivo hakuna namna tuhimili tu hadi baadae....
linasokota kwa sababu umevimbiwa mchanganyiko wa vyakula....Baadae nahisi ntaumwa tumbo maana linasokota
Vyakula tulivyokula mwezi mtukufu wa Ramadhani vimeanza kuadimikalinasokota kwa sababu umevimbiwa mchanganyiko wa vyakula....
Kuadimika kwa sukari kumesababisha sintofahmu kwa watumiaji.....Vyakula tulivyokula mwezi mtukufu wa Ramadhani vimeanza kuadimika
Isee kibano hiki sii cha kawaida.....Kuadimika kwa vyakula kunaenda sambamba na kuadimika kwa hela mtaani isee
Kawaida yangu niIsee kibano hiki sii cha kawaida.....
Ni kutokuwa na kawaida.. japo unaharakati za kushtukizia sidhani kama utatutumbua....Kawaida yangu ni
Utatutumbua wangapi? Maana kuna mafisadi papa na mafisadi sangara.Ni kutokuwa na kawaida.. japo unaharakati za kushtukizia sidhani kama utatutumbua....
Sangara wanapatikana wapi siku hizi za kiangazi....Utatutumbua wangapi? Maana kuna mafisadi papa na mafisadi sangara.
Sangara wanapatikana wapi siku hizi za kiangazi....
Masika huku ndiyo adimu jangwa la waka moto.....Kiangazi mbona kipo muda Ndugu ZZ Ila sasa kimeamua kujitokeza.Katika sehemu zote za JF
Ni kiangazi Ila hapa kila siku Ni masika.
Masika huku ndiyo adimu jangwa la waka moto.....
Chuki ya kwenye Moyo wa binadamu adui wa uelewano na busara inatakiwa kuweza kutoa In Shaa Allah tutafanikiwaMoto nakuwa nao nikosoma mada za humu JF.
Kuna Watu wanachuki Na mapovu mpaka unashangaa.Nime Na nina jifunza kustahamili Lakini wapi.Chuki Ni ugonjwa wa kuambukiza.Tumuombe MwenyeeziMungu atuzidishie mapenzi Na atuondolee chuki.