Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,978
Hutosahaulika, ni kweli kabisa... Lakini wale waliokua ni tegemezi kwako ndio utaowaachia kilioRehani yako ujitose nafsi yako kwa kuokoa jamii... japo ni ngumu lakini hutosahaulika....
Hutosahaulika, ni kweli kabisa... Lakini wale waliokua ni tegemezi kwako ndio utaowaachia kilioRehani yako ujitose nafsi yako kwa kuokoa jamii... japo ni ngumu lakini hutosahaulika....
Kilio hicho ukisikiacho kila mmoja wetu ana siku atalia ima aondokewe ima yamkute hapo hatuna ujanja !!!Hutosahaulika, ni kweli kabisa... Lakini wale waliokua ni tegemezi kwako ndio utaowaachia kilio
Ujanja ni kuwa karibu na Muumba wako ili kujihakikishia nafasiKilio hicho ukisikiacho kila mmoja wetu ana siku atalia ima aondokewe ima yamkute hapo hatuna ujanja !!!
Nafasi ya makazi yako yapo moyoni lakini hapa duniani ni mapambano....Ujanja ni kuwa karibu na Muumba wako ili kujihakikishia nafasi
Mapambano ya kuwa wa mwisho ili uwe mshindi kumbe bado yanaendelea?Nafasi ya makazi yako yapo moyoni lakini hapa duniani ni mapambano....
Yanaendelea mauaji ya kibaguzi huko Marekani, Mweupe na Mweusi wanalipizana kisasi.....Mapambano ya kuwa wa mwisho ili uwe mshindi kumbe bado yanaendelea?
Kisasi kwa weupe ni muhimu kwakuwa wamezoea kufanya dhuruma za kibaguzi.Yanaendelea mauaji ya kibaguzi huko Marekani, Mweupe na Mweusi wanalipizana kisasi.....
Kibaguzi kupo katika kila jamii.... WanaAdamu tumekuwa wachoyo, wakatili na hatupendani !!Kisasi kwa weupe ni muhimu kwakuwa wamezoea kufanya dhuruma za kibaguzi.
Hatupendani Sana hasa kukiwa na maslahi inakuwa full mizengwe ukijipindu tuu unatumbuliwaKibaguzi kupo katika kila jamii.... WanaAdamu tumekuwa wachoyo, wakatili na hatupendani !!
Unatumbuliwa na mtu wako wakaribu kabla ya adui yako... sababu hatuaminiani hata kidogoHatupendani Sana hasa kukiwa na maslahi inakuwa full mizengwe ukijipindu tuu unatumbuliwa
Mapambano hayaishi hadi mwisho wa maisha ya kila mwanadamuNafasi ya makazi yako yapo moyoni lakini hapa duniani ni mapambano....
Kisasi kitu kibaya ukishindwa kuwa na msamahaYanaendelea mauaji ya kibaguzi huko Marekani, Mweupe na Mweusi wanalipizana kisasi.....
Kidogo jua limechomoza sio kama kipindi cha baridiUnatumbuliwa na mtu wako wakaribu kabla ya adui yako... sababu hatuaminiani hata kidogo
Baridi husababisha nimsogelee mwenza wangu niwapo kitandani ili anipe kajoto niweze kufarijika, Kisha hapo naanzisha safari nyingine.....Kidogo jua limechomoza sio kama kipindi cha baridi
Nyingine inahitajika zaidi kama ulifurahia ya kwanzaBaridi husababisha nimsogelee mwenza wangu niwapo kitandani ili anipe kajoto niweze kufarijika, Kisha hapo naanzisha safari nyingine.....
Kwanza kabla sijamsogelea nilikumbuka ya kwanza kwakua nilifurahia, na hii sio ya mwisho nitarudiaNyingine inahitajika zaidi kama ulifurahia ya kwanza
Nitarudia kusoma katiba pendekezwa hadi itakapopatikana mpyaKwanza kabla sijamsogelea nilikumbuka ya kwanza kwakua nilifurahia, na hii sio ya mwisho nitarudia