Hongoa PJ
Senior Member
- Aug 23, 2014
- 179
- 58
kirefu cha Y2k! mdau embu ondoa utata hapo!Y2K nini chake Kirefu?
kirefu cha Y2k! mdau embu ondoa utata hapo!Y2K nini chake Kirefu?
mmmh !! Mrembo umezaliwa usiku wa Eiddi hii !!!😛😛😛 Y2k ni " Year two thousand" 2000 na kuendelea....Y2K nini chake Kirefu?
Kuendelea kuishi sana ndio kusahau mengi, hahahaha nimekumbuka Y2K ya Khadija Kopa.mmmh !! Mrembo umezaliwa usiku wa Eiddi hii !!!😛😛😛 Y2k ni " Year two thousand" 2000 na kuendelea....
Kopa za macho yako mazuri huniacha Mwaaaah... Allahu akujaalie urembu wenye twaa3 na ucha mungu !!!Kuendelea kuishi sana ndio kusahau mengi, hahahaha nimekumbuka Y2K ya Khadija Kopa.
Mungu atujaalie sote siha njema, afya njema na amali njema....Kopa za macho yako mazuri huniacha Mwaaaah... Allahu akujaalie urembu wenye twaa3 na ucha mungu !!!
Ila upunguze vituko binamu.Binamu bila vituko atakuwa kama chai bila sukari... watakuja saa hii wadai sukari....!!😛Mungu atujaalie sote siha njema, afya njema na amali njema....![]()
Ila upunguze vituko binamu.
Dunia hii inaonewa sana kwa uduni wake, kila ajae huikanyaga na kuikandia maovu......Sukari watakaonidai nitawapa tende, asante kwa kunijibia Y2K. Inaonekana everhurt alisahau kuna watu walitabiri kuwa Y2K ianzapo ndo mwisho wa dunia
Utaidadavua vp wakat una matatizo kibao?Dunia hii inavituko sana iwapo utaidadavua
kibao cha mpenzi akiumiUtaidadavua vp wakat una matatizo kibao?
Akiumi daaahh! naona kiswahili kinaenda halijojokibao cha mpenzi akiumi
Halijojo ana wafuasi wake wengi, inawezekana Abunuwasi hakumtahadharisha juu ya vizazi vipya hivyo ni jukumu letu kuwa wekea bayana.....Akiumi daaahh! naona kiswahili kinaenda halijojo
Maneno matamu humtoa nyoka pangoni.Bayana ya ukweli kuwa Kiswahili wanakiharibu kwa kupindisha maneno
Pangoni kuna kiza hivyo kutambua kitu humu itakubidi uingia na mwanga wa tochi au mwenge !!!Maneno matamu humtoa nyoka pangoni.
Bajeti ya centi 1 imemshinda mpendwa mahondaw kuchangia mwenge... haya siye wengine tutachangia....Cent kuchangia mwenge lazima ufanye bajeti