Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Njema huzaa vyema !! Ukijiweka vyema siku zako zote zitakuwa eiddi... smile utabasamu utazawadiwa utaamu !!
Utamuu wa salamu zenu ndiyo umenifanya nirudi tena ukumbini kutoa zangu shukuran kwa mlivyo onyesha upendo wenu wa dhati kujibu zangu salamu.Mengi tumejifunza na tunaendelea kujifunza naomba kusema kuwa tuzingatie ushauri wa kila mmoja wetu ili kudumisha uhusiano wetu unaozidi kuchanua
 
Kuchanua lazima uchanue mkuu maana wana jf wengi ni wakarimu na wana upendo mno, bila kujali tofauti ya kiimani, kikabila, kiitikadi nk. Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia idd njema wale wote wanaosherehekea sikukuu hii
 
Hii sikukuu kweli ni yetu wote nakubaliana nawe Mkuu miaka nenda miaka rudi tumekuwa kitu kimoja katika sherehe za Eiddie
 
Haionani/haikutani halikadhalika Ardhi na Mbingu pia havigusani
ZZ mi ni mmoja wapo nilieguswa na uzi huu nasema ahsante kwa salamu zako,mi nina amini ipo siku tutakutana live Mola akipenda In Shaa Allah.
Japo tuna majina bandia tutafahamiana kwa majina yetu halisi.
Wote mlioguswa na uzi huu nawatakieni maisha ya furaha na Amani.... Nina Imani kuna siku tutakutana live japo mmoja baada ya mwengine "kwani binaadamu huonana/hukutana ispokuwa milima haionani/haikutani....
 
Haionani/haikutani halikadhalika Ardhi na Mbingu pia havigusani
ZZ mi ni mmoja wapo nilieguswa na uzi huu nasema ahsante kwa salamu zako,mi nina amini ipo siku tutakutana live Mola akipenda In Shaa Allah.
Japo tuna majina bandia tutafahamiana kwa majina yetu halisi.
Halisi ya kuonana macho kwa macho ni moja za tiba (therapy) furaha iliyoje, maana kama vile kwa wachimba migodi wanavyo discover miamba ya madini.......😀😀😀
 
Back
Top Bottom