Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Majukumu ukiyakwepa ni kama wajichimbia kaburi, maana hatma nzito itakufunika !

Itakufunika maana hautakuwa pa kukimbilia.
Iko siku nilikwenda mazikoni Kwa rafiki yangu alie tangulia mpele ya haki.Kwenye mila zao hawamwagii mchanga kwenye makaburi Na makoleo Ila magrader ndio yanamwaga.
ZZ Hii ndio siku pekee niliyo iona mtu anafunikwa.Hata tukiji shebedua kivipi sio lolote wala chochote.
 
Ahsante kwa taarifa yako!
Chochote kinaweza kukutokea kama huna mazoea ya kuhudhuria mazishi ya binaadamu mwenzio, Sasa kama ulivyosema hayo mazishi alikupa taswira la kujitambua....!!
 
Ahsante kwa taarifa yako!
Chochote kinaweza kukutokea kama huna mazoea ya kuhudhuria mazishi ya binaadamu mwenzio, Sasa kama ulivyosema hayo mazishi alikupa taswira la kujitambua....!!

Kujitambua Ni muhimu sana.Wengi wetu tunaishi maisha ya maigizo.Ziko methali nyingi zinazoongelea maigizo.Lakini mpaka uwe Na Hekima kuyajua.
 
Vigumu sio kweli ZZ.hili darsa la JF lina Elimu nyingi Kama Maji ya bahari ya Hindi.Sisi tunajichotea Elimu Hii
Elimu hii ni kama kisima cha maji inapatikana nadra sana, maana vianzo ni miferiji na mito chini kwa chini hukusanyika na kuelekeza mkondo kisimani.....
 
Lugha kiwsahili ni mwanana na inazidi kupaa inasemekana ni lugha ya pili inayozungumzwa kwa wingi katika bara la Afrika ikitanguliwa na kiarabu
Kiarabu siku hizi kina zungumzwa huko uchina.. kwani wafanya biashara wengi wanahemea huko... Lakini Kiswahili kinasambaa kwa haraka kwani idhaa nyingi za redio !!!
 
Back
Top Bottom