Sana sio kundeHahahahah Bangi nayo siyo nzuri sana.
Ajielewi uandishi wa wapi??Ajielewi
Huyu kwani shule hazijafunguliwa?Wapi kajifunza Kiswahili huyu?
Hazijafunguliwa zile bidhaa feki kwa sababu wapo wajanja watachakachua na kuzrejesha sokoni......!!!Huyu kwani shule hazijafunguliwa?
Sokoni kumeja kila aina ya takatakaHazijafunguliwa zile bidhaa feki kwa sababu wapo wajanja watachakachua na kuzrejesha sokoni......!!!
Takataka siku hizi hurudisha uhai wa matumizi.. Wenzetu wamebuni "Re-cycling system" nasi tungeweza kuiga mfumo huo ili tunufaike zaidi.....Sokoni kumeja kila aina ya takataka
Zaidi ni maneno mengi vitendo zeroTakataka siku hizi hurudisha uhai wa matumizi.. Wenzetu wamebuni "Re-cycling system" nasi tungeweza kuiga mfumo huo ili tunufaike zaidi.....
Zero zikizidishwa mbele ya namba basi hupandisha thamani..., mfano 5 ukiongeza zero tatu huwa elfu tano !!Zaidi ni maneno mengi vitendo zero
Tano ndiyo idadi ya vidole kwenye kila mikono na miguu ya mwanadamuZero zikizidishwa mbele ya namba basi hupandisha thamani..., mfano 5 ukiongeza zero tatu huwa elfu tano !!
Mwanadamu mwema humpendea kheri mwanadamu mwenzie, Sasa ndu Mtebetini nakukaribisha tule daku usiku huu maana naanda kula daku baadae nikalale... Fal-ya-tafadhwalu mashkurra😀Tano ndiyo idadi ya vidole kwenye kila mikono na miguu ya mwanadamu
Mashkurra jazakallah kheri mimi bado mpaka saa 8Mwanadamu mwema humpendea kheri mwanadamu mwenzie, Sasa ndu Mtebetini nakukaribisha tule daku usiku huu maana naanda kula daku baadae nikalale... Fal-ya-tafadhwalu mashkurra😀
Mashkurra jazakallah kheri mimi bado mpaka saa 8
Majukumu tumeshayavalia njuga kitambo, maana tuna lisha na kutunza matumbo ya familia kwa hiyo hakuna kusuasua.....😀Saa 8 ndio kwanza naamka.Duh sijafika mitaa Hii nategemea wachangiaji wote salama wa salmini.Hongereni Na majukumu.
Majukumu tumeshayavalia njuga kitambo, maana tuna lisha na kutunza matumbo ya familia kwa hiyo hakuna kusuasua.....😀