Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
"Mzizima yetu" ni kitabu alichoandika nguli mhe. Shaaban Robert, leo nani anakitambua..?Wapi niende bado nipo hapa kwenye jiji la mzizima
"Mzizima yetu" ni kitabu alichoandika nguli mhe. Shaaban Robert, leo nani anakitambua..?Wapi niende bado nipo hapa kwenye jiji la mzizima
Anakitambua! Akitambue nani wakati elimu sasa ni biashara na si kupewa tena maarifa"Mzizima yetu" ni kitabu alichoandika nguli mhe. Shaaban Robert, leo nani anakitambua..?
Maarifa yapo ispokuwa vitendea kazi havipatikani kwa urahisi.....Anakitambua! Akitambue nani wakati elimu sasa ni biashara na si kupewa tena maarifa
Nia hakika ndiyo njia ya mwanzo kwenda kufungua mlango wa kutenda jamboUrahisi wa kupatikana kwa jambo lolote kunatakiwa kuwe na nia
Jambo nililotambua kuwa wanaSiasa hawana kauli moja ya kudumu hadi kumaliza ahadi zao, wamekuwa wakirukiarukia majambo/vituko bila hitimsho muwafaka !!!Nia hakika ndiyo njia ya mwanzo kwenda kufungua mlango wa kutenda jambo
Muafaka kwa wanasiasa huwezi kuupata maana wanalinda maslahi yao binafsiJambo nililotambua kuwa wanaSiasa hawana kauli moja ya kudumu hadi kumaliza ahadi zao, wamekuwa wakirukiarukia majambo/vituko bila hitimsho muwafaka !!!
WanaSiasa wanacheza mchezo mchafu unao ambatana na ushirikina.....Binafsi huwa siwaamini wanasiasa
Mawazo hayaepukiki kwenye mapenzilock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Mapenzi huingiaga mlangoni bila hodi.......Mawazo hayaepukiki kwenye mapenzi
Mapenzi huingiaga mlangoni bila hodi.......
Kitendo gani labdaHodi hutumia wastaarabu kupata idhini kabla ya kuanza kitendo
Labda ukimaliza shule ndiyo utapata ajiraKitendo gani labda
Labda ukimaliza shule ndiyo utapata ajira
Ajiraaaaa
Ajiraa
Ajira
Ajir