kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 871
itakapowadia watu hulia Na kuhuzunika kisha humzika Na kusahauHataridhika binaadam mpaka mauti itakapowadia.
itakapowadia watu hulia Na kuhuzunika kisha humzika Na kusahauHataridhika binaadam mpaka mauti itakapowadia.
Kusahau ni maumbile aliyeubwa nayo habadilikiitakapowadia watu hulia Na kuhuzunika kisha humzika Na kusahau
Habadiliki kama kinyonga.Kusahau ni maumbile aliyeubwa nayo habadiliki
Kinyonga Ni mnyama kweny uwezo wa kujibadirisha rangi ili kuendana Na mazingira...Habadiliki kama kinyonga.
Kinyonga mwendo wake wa maringoHabadiliki kama kinyonga.
Maringo yote tuyafanyao hatutaweza kudiriki ukubwa au urefu wa mlima....Kinyonga mwendo wake wa maringo
Mlima kilimanjaro ndiyo mlima mrefu barani AfrikaMaringo yote tuyafanyao hatutaweza kudiriki ukubwa au urefu wa mlima....
Rasilimali tutazisikie hiviivi tu...Samahani kama ntawakwaza waTZ wenzangu KM:- nchi nyingi hutajwa kuwa wana R/M lakini njaa, ufakiri na Maradhi ndiyo nembo isiyotoweka !!!Afrika ni bara lenye neema kwa rasilimali
Isoyotoweka ni shida Tanzania pamoja na rasilimali tulizo nazo.Rasilimali tutazisikie hiviivi tu...Samahani kama ntawakwaza waTZ wenzangu KM:- nchi nyingi hutajwa kuwa wana R/M lakini njaa, ufakiri na Maradhi ndiyo nembo isiyotoweka !!!
Mazingira tulivyoyaharibu yameleta mabadiliko ya hali ya hewaTulizonazo ni nyingi rasilimali, ila rasilimali watu wenye maono haijajipanga ili ifaidike na rasilimali mazingira.
Hewa yetu sasa ni mparaganyo!! Mabonde yetu sasa ni machismo yaliyotelekezwa !! Maji yetu sasa ni kontaminetedi !!makazi yetu sasa ni mbanano tupu, sogea tukaae !! yaani hali iinajieleza kuwa taabani ibin tafraani..Mazingira tulivyoyaharibu yameleta mabadiliko ya hali ya hewa
Tafraani ya hali ya juu kupita maelezo mabondeni kote watu wamejenga majumba kuanzia Mzamia Lulu,kwa Buruda msimbazi mpaka Segerea na kinyerezi.Hewa yetu sasa ni mparaganyo!! Mabonde yetu sasa ni machismo yaliyotelekezwa !! Maji yetu sasa ni kontaminetedi !!makazi yetu sasa ni mbanano tupu, sogea tukaae !! yaani hali iinajieleza kuwa taabani ibin tafraani..
Kinyerezi wakazi wake wengi ndiyo waliokuwa wakiipigia debebe na kushabikia siasa, leo wameisoma na namba na wamepata fadhila stahiki.....Tafraani ya hali ya juu kupita maelezo mabondeni kote watu wamejenga majumba kuanzia Mzamia Lulu,kwa Buruda msimbazi mpaka Segerea na kinyerezi.
Stahiki kwa kuwa siasa nsiyo inatawala duniani huwezi kuikwepa na kushabikia wanasiasa ni kama kucheza kamariKinyerezi wakazi wake wengi ndiyo waliokuwa wakiipigia debebe na kushabikia siasa, leo wameisoma na namba na wamepata fadhila stahiki.....
Kamari hiyo yenye ushindi 100% upande mmoja... Khaaah wajanja waishi MASAKI/Oysterbay na washangiliaji wakaishi madongo poromoka.....Stahiki kwa kuwa siasa nsiyo inatawala duniani huwezi kuikwepa na kushabikia wanasiasa ni kama kucheza kamari
Wapo na wakitoka wangine wanaingiaMmekufa! Usijidanganye kuwa kuna wa mwisho, hii itaendelea tu, wachangiaji wapo