mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Daima ukiwa mpambanaji utakuwa kama Nabii Daud, kwani alikuwa akiishi kwa jasho lake mwenyewe....
Mwenyewe ndio mwenye kutuo.Raha ya maisha kuchuma Kwa jasho lako Na kustarehe bila ya kukufuru.Watakusema weeee Halafu watalala
