Mwiko tena ni uchuro mkubwa ya faragha ukayaleta hadharani siku hizi aaaaahhh bukheri burudaniHadharani au faraghani kutukana ni mwiko
Burudani ya siku ya iddi hee isikie tu, na asikuwa na mwana abebe jiwe.....Mwiko tena ni uchuro mkubwa ya faragha ukayaleta hadharani siku hizi aaaaahhh bukheri burudani
Pesa ni neno la kihindi, hela/fedha ni neno la kiarabu, kwara na kwacha ni neno la kibantu.....!!Kujikwaa n kitendo nsicho kipenda kabisaaa coz kna sk nlijikwaa nkadondosha pesa
Kunyauka kwa ngozi ni uhusiano wa kiumri....Pesa ni mauwa huchanua na kunyauka
Kiumri mi nawe tunalinganaKunyauka kwa ngozi ni uhusiano wa kiumri....
Tunalingana khaswa na siajabu tunashabihiana minajili IMANi na tunaendana kitamaduni.....😀Kiumri mi nawe tunalingana
Kitamaduni halikadhalika wala hayo uliyoandika hayana chembe ya shakaTunalingana khaswa na siajabu tunashabihiana minajili IMANi na tunaendana kitamaduni.....😀
Shaka sinayo kabisa, maana Muumba wetu adhimu ametuumba kufaana na kuongozana....Kitamaduni halikadhalika wala hayo uliyoandika hayana chembe ya shaka
Kuongozana mema na kukatazana mabaya hilo pia hayana mushkelShaka sinayo kabisa, maana Muumba wetu adhimu ametuumba kufaana na kuongozana....
Mushkel hutokea pale rai ya mtu kupuuzwa bila kupewa fursa ya kusikilizwa....Kuongozana mema na kukatazana mabaya hilo pia hayana mushkel
Kisikilizwa kwa myonge mpaka mwenye nguvu apendeMushkel hutokea pale rai ya mtu kupuuzwa bila kupewa fursa ya kusikilizwa....
Apende asipende nguvu ya umma itawaumbua hatimaye watatimuwa vumbi.....!!Kisikilizwa kwa myonge mpaka mwenye nguvu apende
Kuona ni moja ya njia za utambuzi katk mwili wa binadamVumbi likiwa jingi hatutaweza kuona
Binadamu hatosheki hata ukipa nini milele hataridhikaKuona ni moja ya njia za utambuzi katk mwili wa binadam
Binadamu hatosheki hata ukipa nini milele hataridhika