Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Lodilofa mpuuzi sana, usipoangalia unaweza rusha ngumi.Inawezekana sana mkuu, nimekumbuka sana majibu ya lodilofa
Lodilofa mpuuzi sana, usipoangalia unaweza rusha ngumi.Inawezekana sana mkuu, nimekumbuka sana majibu ya lodilofa
Ngumi kweli mtu unaweza rusha kwa majibu ya kukera ya yule jamaaLodilofa mpuuzi sana, usipoangalia unaweza rusha ngumi.
Jamaa mmoja karibu anitwange ngumi kipindi nipo form two sababu ya majibu hayo.Ngumi kweli mtu unaweza rusha kwa majibu ya kukera ya yule jamaa
Hayo majibu ya kuudhi sio ya kuyatoa kwa mtu asieweza utaniJamaa mmoja karibu anitwange ngumi kipindi nipo form two sababu ya majibu hayo.
Utani una mtu na mtu kweli.Hayo majibu ya kuudhi sio ya kuyatoa kwa mtu asieweza utani
Kweli mkuu, wengine wakiona wenzao wanataniwa wanacheka sana, ukiwatania wao ngumi mkononiUtani una mtu na mtu kweli.
Mkononi hutazamwa saana unapokamatwa na trafficKweli mkuu, wengine wakiona wenzao wanataniwa wanacheka sana, ukiwatania wao ngumi mkononi
Traffic wa dar wanayachukia sana mabasi ya mwendokasiMkononi hutazamwa saana unapokamatwa na traffic
Mwendokasi kwa vijana ila kwa mtu mzima ni mwendo wa jongoo....Traffic wa dar wanayachukia sana mabasi ya mwendokasi
AU ni kifupi cha UMOJA wa AFRIKA "African Union" jee, wewe ni mwanajumuiya....???Mongol wa mwendo kasi au
Wenzako ni watu unaoweza kushirikiana nao katika mishe mbalimbali.Uwe unaenda kusali na wanajumuiya wenzako
Hazijakubalika sababu nyingine hazina mashikoMbalimbali sababu zimetolewa lakini zote hazijakubalika
Mashiko ni nadra sana kwa baba jesicaHazijakubalika sababu nyingine hazina mashiko
Jesica yako mbona imesomeka vizuri, mi nkitaka kuandika hilo jina linakua hivi ******Mashiko ni nadra sana kwa baba jesica
Hivi xxxx udomJesica yako mbona imesomeka vizuri, mi nkitaka kuandika hilo jina linakua hivi ******
Udom chuo kikuu kinachotoa wahitimu wengi kila mwaka kupita chuo chochote hapa nchiniHivi xxxx udom