Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Ulimbukeni unakuja pale wapambe wanapo kusifia bila ukweli wowote......hasara! huo ulimbukeni.
Ulimbukeni unakuja pale wapambe wanapo kusifia bila ukweli wowote......hasara! huo ulimbukeni.
Kunchuka?! Hapa nimetoka kapaalimuweka yule mama mwenye kunchuka
Kapa kwa mkimbizi ni bora kuliko kuuwawa ni hiyari achanganye miguu kunusuru maisha !!Kunchuka?! Hapa nimetoka kapa
Maisha ya hapa duniani yana misukosukoKapa kwa mkimbizi ni bora kuliko kuuwawa ni hiyari achanganye miguu kunusuru maisha !!
Misukosuko ni mingi tunayokutana nayo, ila kwa msaada wa Mungu tunashindaMaisha ya hapa duniani yana misukosuko
Tunashinda kwa kudra na rehma zakeMisukosuko ni mingi tunayokutana nayo, ila kwa msaada wa Mungu tunashinda
Zake Rehema ndizo zatuweka Salama.Tunashinda kwa kudra na rehma zake
Tumeshindaje??? Kwani nikisema tatu bila halitakuwa jibu sahihi???Salama ni jibu ambalo watanzania tunapenda kulitumia pindi tukiulizwa tumeamkaje, au tumeshindaje
Sahihi kwenye soka mkuuTumeshindaje??? Kwani nikisema tatu bila halitakuwa jibu sahihi???
ila sio kwenye kujuliana haliHali mbaya wandugu sukari ikoo juuSahihi kwenye soka mkuu![]()
![]()
ila sio kwenye kujuliana hali
Hali gani unauliza kushinda? Kwanini usiulize habari za mchana!Sahihi kwenye soka mkuu![]()
![]()
ila sio kwenye kujuliana hali
Mchana waswahili huwa ndo wanasema habari za mchana. Jioni wengi huuliza umeshindaje na asubuhi umeamkajeHali gani unauliza kushinda? Kwanini usiulize habari za mchana!
Umeamkaje ipo sawa, kwanini mchana iwe kushinda! naona kuna Shida.Mchana waswahili huwa ndo wanasema habari za mchana. Jioni wengi huuliza umeshindaje na asubuhi umeamkaje
Shida naona ipo hata kwenye umeamkaje pia, maana mwengine anaweza kujibu nimeamka kwa alarm. Au unaonaje hapo mkuuUmeamkaje ipo sawa, kwanini mchana iwe kushinda! naona kuna Shida.
Mkuu kiswahili ni kipana sana, kweli anaweza kukujibu hivyo, ndio maana ukiamua kumvuruga mtu na majibu ya shombo inawezekana.Shida naona ipo hata kwenye umeamkaje pia, maana mwengine anaweza kujibu nimeamka kwa alarm. Au unaonaje hapo mkuu
Inawezekana sana mkuu, nimekumbuka sana majibu ya lodilofaMkuu kiswahili ni kipana sana, kweli anaweza kukujibu hivyo, ndio maana ukiamua kumvuruga mtu na majibu ya shombo inawezekana.