Jamii bora hupenda kijifunza...Wao bora wapige dili kwa manufaa yao sio kwa ustawi wa jamii
Jamii haina cha kustawi kwa sababu wastawishaji ni matawiWao bora wapige dili kwa manufaa yao sio kwa ustawi wa jamii
Matawi ya nchii wamejaa tamaa wanaimiza mizizi.Jamii haina cha kustawi kwa sababu wastawishaji ni matawi
Mizizi ikikatwa shina na matawi vitakufaMatawi ya nchii wamejaa tamaa wanaimiza mizizi.
YaisyoSameheka ni yaliyo ndani ya damu za ukoo, Lakini ya kisiasa na biashara hufutika kwa kupewa mbadala....😛!!Havitasahaulika kwasababu wametuachia makovu yasiyosameheka.
Havitasahaulika kwasababu wametuachia makovu yasiyosameheka.
Anasamehe M/Mungu yale ulomkosea yeye (m/mungu) ila kosa la viumbe vyake shurti waathirka hao wakusamehe au kama hawapo basi Ucompensate fidia ..!!!!Yasiyosameheka kivipi othiambo. MwenyeeziMungu anasamehe
YaisyoSameheka ni yaliyo ndani ya damu za ukoo, Lakini ya kisiasa na biashara hufutika kwa kupewa mbadala....😛!!
najibu suali lako...Mbadala upi ZZ MwenyeeziMungu anasema Kwa mwenye kuomba
najibu suali lako...
Kuomba na kuombeana pamoja sawa, Sasa mkuu MG1 hivi mfano wewe umenitendea (dhulma/mateso/ibia/hiyana/tapeli haki stahiki, nk nk) halafu mie sikuwahi kukusamehe katika uhai na nikatangulia mbele ya haki !!! wewe ukajaaliwa kuishi na dhamira yako inakusuta mara kwa mara vipi unilipe tendo la haki yangu wakati mie sipo? So katika hili ni lazima utoe fidia/mbadala
Ambayo ni swadaqa kwa jina langu... ili uweze kukubalika msamaha wako kwa M/Mungu !!!
(Ona kazi hiyo ~~ Sasa hao wenye kutapeli na kuzika mali/amana za watu wataipata)
Choma choma ndiyo ujumbe wa kutukumbusha yaliyofichika, kama vile ujumbe wa kuwa mtu mzima huanza na mvi mvi kichwani....😛Wataipata ZZ nashukuru Kwa kunielimisha.
Haki huwa inasikilizwa ingawa inachoma choma
Kichwani ndo mahali ulipo ubongo ambao ndo chanzo cha akili,utimamu na umakini wa binaadamu.Choma choma ndiyo ujumbe wa kutukumbusha yaliyofichika, kama vile ujumbe wa kuwa mtu mzima huanza na mvi mvi kichwani....😛
Binaadamu siye tuna huruma na ukatili.. Malaika wao wana huruma pekee.. Wanyama wana ukatili zaidi 🙁!!Kichwani ndo mahali ulipo ubongo ambao ndo chanzo cha akili,utimamu na umakini wa binaadamu.
Zaidi ya akili inatufanya tuwe na chaguo kati ya kufanya mema na kuacha mabayaBinaadamu siye tuna huruma na ukatili.. Malaika wao wana huruma pekee.. Wanyama wana ukatili zaidi 🙁!!
Muovu akitubia usamehewa madhambi yake na MUNGU.Mabaya mengi tunayotenda wanaadamu ni msukumo wa shetani muovu.
Akiba haioziHalisi hushindwa na mazingira yasiyokuwa na akiba......