Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Zao la taifa ni lipi? tukiweza litambua na kulithamini zao hilo waTZ. tutapaa juu kiuchumi......Masilahi yangu Ni Kwa WaTanzania Tupendane Kama tunavyo penda mpira maana Hata maadui wa siasa,Ukabila Na Udini wanakubalia Kwa ushabiki wa timu zao