Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Adhirika, hapana hapo nitasaidia, ila kuna mambo hasa ya maadili ukijaribu kurekebidha mtu anakuambia wewe si mzazi wake au inakuwa ugomvi na mwenye ndugu au mtoto.
 
Mtoto ni mtoto tutamchukulia kwa utoto wake.., ila kurekebishana ktk maadili hakunaga staha....
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Staha haipo linapokuja suala la maadili, jamii ya sasa si kama ya enzi hizo wanasema mtoto analelewa na jamii, siku hizi umkaripie mtoto wa mtu, basi una ugomvi na mzazi wake.
 
Wake wenza ni vigumu kuishi nyumba moja... haya matatizo ya ulezi wa sasa ni utamaduni wa kigeni....
 
Back
Top Bottom