danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Zako ni kiswahili cha neno yoursKufikiria hatukatazwi lakini kuna mambo yana kikomo cha fikra ukikwama kupata jibu hapo ndiyo mwisho wa fikra zako
Zako ni kiswahili cha neno yoursKufikiria hatukatazwi lakini kuna mambo yana kikomo cha fikra ukikwama kupata jibu hapo ndiyo mwisho wa fikra zako
Yours its a English word and using english words in this thread you might confuse other membersZako ni kiswahili cha neno yours
Members of Jf are all great thinkers so hope no one will be confused.Yours its English word and using english words in this thread you might confuse other members
What is the difference between salon and saloon?confused about what?
Saloon? Watch out people are scared to contribute in this thread simply because the language has been switched,i suggest lets get back where we use to.What is the difference between salon and saloon?
To me or to you !! Jamani lugha adhimu na lugha mama ni kiswahili chetu kilichobobea mifano,methali na misamiati......Saloon? Watch out people are scared to contribute in this thread simply because the language has been switched,i suggest lets get back where we use to.
Kutenda bila kujali mtendewa itakuwa ni uonevu bila staha..... 😛!!!Kufikiria ni vyema kabla ya kutenda
Staha ni muhimu katika jamii kila jambo linataka kufanywa kwa uangalifuTo me or to you !! Jamani lugha adhimu na lugha mama ni kiswahili chetu kilichobobea mifano,methali na misamiati......
Kutenda bila kujali mtendewa itakuwa ni uonevu bila staha..... 😛!!!
Ndg Mtebetini umzima?Staha ni muhimu katika jamii kila jambo linataka kufanywa kwa uangalifu
Watoto na wote kwa ujumla hatujambo namshukuru Mwenyezi Mungu hofu kwako sheikh wanguNdg Mtebetini umzima?
Uangalifu wa dhati unahitajika katika kutunza familia yenye watoto......
Wangu ni msikilizaji na mfuataliaji mzuri , Usheikh mie ntaupata wapi? kwako alwatan....Watoto na wote kwa ujumla hatujambo namshukuru Mwenyezi Mungu hofu kwako sheikh wangu
Alwatan kwani usheikh unapata kwa njia ipi? Basi niruhusu nikuite sheikh kwa sababu ambazo siwezi kuzibanisha hapa hadharaniWangu ni msikilizaji na mfuataliaji mzuri , Usheikh mie ntaupata wapi? kwako alwatan....
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Hadharani tukikutana tutakumbatiana.., sema tu ughaibuni nikutumiana Salaam za kheri...Alwatan kwani usheikh unapata kwa njia ipi? Basi niruhusu nikuite sheikh kwa sababu ambazo siwezi kuzibanisha hapa hadharani
Kheri na salama muadham ndiyo tuombachoHadharani tukikutana tutakumbatiana.., sema tu ughaibuni nikutumiana Salaam za kheri...
Tuombacho ni stara na ustawi kwa jamii.....Kheri na salama muadham ndiyo tuombacho
Jamii imekuwa na wasiwasi kwa namna bunge linavyojadili makadirio ya bajeti wizara ya fedha, wabunge wamejikita kutetea kutokukatwa kwa Mafao yao wamesahau kuzungumzia kuongezwa kwa kodi mbalimbali za magari,kukatwa 10% kwa miamala ya fedha kwenye ATM na Simu na ushuru wa forodhaTuombacho ni stara na ustawi kwa jamii.....
Forodha ni neno la kiarabu lina tokana na neno Fordh/fardhisha yaani impose (kwa kiengereza) Sasa katika kilio mtu hulia "mama yangu" hapo ubinafsi wa kutetea masilahi......Jamii imekuwa na wasiwasi kwa namna bunge linavyojadili makadirio ya bajeti wizara ya fedha, wabunge wamejikita kutetea kutokukatwa kwa Mafao yao wamesahau kuzungumzia kuongezwa kwa kodi mbalimbali za magari,kukatwa 10% kwa miamala ya fedha kwenye ATM na Simu na ushuru wa forodha
Forodha ni neno la kiarabu lina tokana na neno Fordh/fardhisha yaani impose (kwa kiengereza) Sasa katika kilio mtu hulia "mama yangu" hapo ubinafsi wa kutetea masilahi......