Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Biashara kulipia kodi ni mfumo wa dunia nzima, nchini kwetu kodi zipo juu ukilinganisha na jirani majirani zetu wapunguze kodi watoe elimu watu watalipa
Watalipa kodi kama walivyokuwa wakilipa zamani..., Sasa mafisa wa TRA wanakuja na ujanja fulani.....
 
Fulani kumjua si sababu ya kutokufata sheria,hao maofisa wa TRA ndiyo kikwazo cha mlipa kodi nchini kwetu
Nchini kwetu kuna wahujumu tokea enzi za Tanesco walikuwa wasoma mita wakija na dili za kuchakachuwa bili ya umeme, Sasa hawa TRA nao wanaminya kipato cha kodi kisiende serikalini.....
 
Back
Top Bottom