Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Roho nzuri humfanya mtu kuishi kwa amani
Amani iliyopo Tanzania imetutambulisha na kutuletea sifa nyingi za kimatifa.....
299301.jpg
 
Nafsi hivi inatofauti gani na roho?
Roho na Nafsi !!! Ndugu acha nichukuwe wasaa wa kujibu suali lako zuri kwa Imani.....
(Nafsi ni mchanganyiko wa mwili na hisia, Roho ni mpachiko kutoka kwa Muumba ndani ya huo Mwili wenye hisia..., hivyo Roho ni amri ya Mwenyeezi Mungu pekee) !!!
umenipata?
 
Umenipata vizuri kabisa swali langu na umelijibu vyema. Nimekuelewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom