Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kufa ni mwisho wa uhai hivyo hakukwepeki ila kwa minajili ya maisha ya akhera ujitayarishe nayo...!!Peponi kila mtu anataka kwenda Lakini tunaogopa kufa.
Kufa ni mwisho wa uhai hivyo hakukwepeki ila kwa minajili ya maisha ya akhera ujitayarishe nayo...!!Peponi kila mtu anataka kwenda Lakini tunaogopa kufa.
Kufa ni mwisho wa uhai hivyo hakukwepeki ila kwa minajili ya maisha ya akhera ujitayarishe nayo...!!
Kuunganishwa ndio habari ya mjini...Amna mshindi humu kwa mana jamvi linazidi kuunganishwa
Mjini kuna maisha ya msukosuko kupita maelezoKuunganishwa ndio habari ya mjini...
Maelezo bado hayajatolewa kuhusu jinsi gani yule ***** kafika chuoMjini kuna maisha ya msukosuko kupita maelezo
Chuo cha kwanza katika bara la Afrika lipo Morocco !!!Maelezo bado hayajatolewa kuhusu jinsi gani yule ***** kafika chuo
Ukiondoa herufi zote hakutobaki ispokuwa kigugumizi......Nayo umenikumbusha mji wetu wa Kondoa
Na herufi zake.Kondoa ukiondoa
K inabakia Ondoa
O inabakia Ndoa
N inabakia Doa
D inabakia Oa
O inabakia Aaaaaaaaaaaaaaaa
Maelezo yaliyotufikia hivi punde kuna wageni wanakuja kutoka Afrika Kusini.....Mjini kuna maisha ya msukosuko kupita maelezo
Maelezo yaliyotufikia hivi punde kuna wageni wanakuja kutoka Afrika Kusini.....
Tanzania kuna mbuga ya wanyama inayopakana na BahariKusini mwa Tanzania kuna nchi ya Msumbiji. Nchi hiyo ina mahusiano mazuri na Tanzania.
Bahari ya hindi nimeogelea mara nyingi mnoTanzania kuna mbuga ya wanyama inayopakana na Bahari
Mno mnono utakula hadi ujisahau.., ukitahamaki utajikuta patupu !!!Bahari ya hindi nimeogelea mara nyingi mno
Patupu kabla sijaitungia sentensi naomba kwanza maana ya mno mnonoMno mnono utakula hadi ujisahau.., ukitahamaki utajikuta patupu !!!
Mno mnono utakula hadi ujisahau.., ukitahamaki utajikuta patupu !!!
Mnono maana yake kubobea steki (nundu la mafuta) !! na Mno ni ziada (extra/too much) utaamu.....Patupu kabla sijaitungia sentensi naomba kwanza maana ya mno mnono
Utaamu wa huu uzi ni mpaka kisogoni. Nimekuelewa vyema kiongoziMnono maana yake kubobea steki (nundu la mafuta) !! na Mno ni ziada (extra/too much) utaamu.....
Kisogoni kuwake ndipo alipopata jeraha katika ile ajali ya darajani.....Utaamu wa huu uzi ni mpaka kisogoni. Nimekuelewa vyema kiongozi
Alionao hili mwenzie nana lile..., ilimradi kila mtu analake limtoshalo....😛Udhaifu unatokan na mtu kushindw kutumia uwezo alionao